Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,749
Wakuu nawapa hongera kwa kuiwezesha Jambo forums kurudi kwa kasi mpya.
Suali nililonalo ambalo pengine hapa si pahala pake lakini ni sehemu ambayo inatembelewa na wasomaji wengi kuliko pengine na hivyo kusaidia kufahamika tatizo liloikumba Jambo forums kwa muda kama wa wiki nzima iliyopita.
Je ilikuwa hacked au Ilisimamishwa? Kama tatizo ni hacked hili ni maarufu lakini kama ilisimamishwa ni kwa uwezo gani uliotumika hata kufikia chombo hiki binafsi kusimamishwa, maoni namasuala yatafuatia badala ya kupata maelezo ya masuali hayo mawili hapo juu.Wakati mwengine naona hii kurudishwa huduma ni mbinu za kuwanasa wengine kwani ukifunga inakuwa kila kitu kimekosekana.
Mwenyezi Mungu ilinde JF na members wake.