Samahani Bila Samahani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Samahani Bila Samahani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zomba, Feb 27, 2008.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2008
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Samahani kwa kuwakurupukia na maswali yaliokuwa na hasira kwa kufutiwa posts zangu zote.

  Nafuta samahani hiyo kwa kuwa (a)ni kweli posts zangu zote zilikuwa zimefutwa kwa wakati huo. (b) wataalam walioshughulikia suala hilo wangejiandaa vya kutosha kusingetokea usumbufu wowote wa watu ku-lose data au kuwa na downtime, ikiwa tatizo ilikuwa ni kubadilisha hosts tu, unless kuwe na tatizo lingine ambalo halielezeki kinaga-ubaga.

  Siku zingine mtujulishe mapema especially kwa wale tulio register email zetu. Na pia mtake ushauri kabla (unless iwe ni emergency, au ndio kama kawaida yetu waTanzania siku zote tuna manage crisis ,) kuna wataalm chungu nzima wa mambo haya wanapita humu, mngeomba ushauri nadhani msingekosa, hata kama unajuwa vipi ujue kuna alie kuzidi ujuzi, kuna njia chungu nzima za kuweza kutumika bila kuwapo na down-time kwa lolote lile kuhusu mtandao.

  Nawapa pole kwa wakati mgumu mliokuwa nao wa kutatua tatizo (la kuepukika).

  Samahani bila Samahani.
  Dar Es Salaam
   
Loading...