Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,036
Mwaka jana kati ya mambo tuliyoyasimamia ni kutoa misaada mbalimbali kwa vijana waliokuwa Ukraine. Kuna wale ambao walitumia tovuti ya podomatic kuchangia kwa kutumia kadi na kuna wale waliotuma fedha moja kwa moja kwa vijana wale.
Wale waliotumia tovuti nina majina yao. Hivyo ombi hili haliwahusu.
Wale mliotuma moja kwa moja naomba tuwasiliane na mnitumie majina na anuani zenu kwenye mwanakijiji@klhnews.com nina "tumizigo" fulani ambavyo ningependa kuwatumia anniversary ya KLH inapokaribia. Sihitaji kujua majina yenu ya JF.
asante.