Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watazamaji wa mbio za magari za Dakar huko nchini Argentina wameparamiwa na gari na kusababisha kifo. Hii ni kama iliyotokea kule morogoro maeneo ya mikese na kuua watoto 4. Soma zaidi kwenye link...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JF BEING USED BY JEWS TO CONDEMN IRAN!!! Tanzania has nothing to do with Iran’s internal affairs Our cooperation is based on mutual respect Let’s not interfere in Iran’s...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Hii imetokea siku ya mwisho ya mwaka 2009, sehemu fulani mawinguni huko! Kambarage:Ah! ngoja nikapumzike hapo nje kwenye kibaraza changu hapo nje, nimechoka kusoma. Mhhh! nani yule anakuja, kama...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya. Nimekuwa nikimsikia na kumwona kupitia vyombo mbali mbali vya habari Dr Slaa (MP-Karatu) kupitia CHADEMA akilalamika kuingiliwa kwenye mawasiliano yake ya email...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Asalaam aleykum kwa ndugu zangu walio waislamu, tumsifu Yesu Kristo kwa ndugu zangu walio wakristu, shikamooni wakubwa zangu na habari za saa hizi au mambo vipi kwa wale wa rika langu. leo sina...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
24 Things to Always Remember. . . and One Thing to Never Forget 1. Your presence is a present to the world. 2. You're unique and one of a kind. 3. Your life can be what you want it to be...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kifo cha mzee Kawawa kimeacha simanzi na huzuni kubwa si kwa familia yake tu bali hata kwa Taifa letu ambalo tuna utamaduni wa kuwatunza na kuwaenzi wazee wetu.Pamoja na hayo sijaona manti ya Rais...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
The media in Tanzania this week highlight how events in the year 2009 could shape the country's political landscape this year. According to the privately-owned Citizens newspaper, "Tanzanians...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari kutoka UDSM zinasema kuwa wahadhiri wote wenye tabia na msimamo wa kuikosoa serikali wataanza kushughulikiwa ikiwa ni pamoja na kuondolewa kazini. Na kwamba ukondolewa kwa Prof Baregu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Na Edward Kinabo CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeuomba Umoja wa Mataifa (UN), kutoa tamko rasmi kuhusu matokeo ya Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja huo, kilichojadili hivi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Racial or religious groups could be picked out for hi-tech airport checks Whitehall says passenger profiling 'in the mix' New body scanners would pose space problem...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
na Danson Kaijage, Dodoma JINAMIZI la wanafunzi wa vyuo vikuu kugoma limekikumba Chuo Kikuu cha Mtakatifu Yohana mkoani hapa ambapo wanafunzi wa mwaka wa pili na wa tatu wamegoma kuingia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimesikitika sana kusikia kwamba wizara ya miundo mbinu ya Tanzania na wale wa Zambia wako china kujaribu kutafuta menejimenti ya kuendesha shirika. Najiuliza swali moja, hivi kweli ktk...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Asha Bani MAJI ni muhimu kwa maisha ya kila binadamu, bila ya maji hakuna binadamu anayeweza kuishi. Lakini maji hayo hayo ni lazima yawe safi na salama, ambayo yatatumiwa na binadamu yeyote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
na Sauli Giliard na Hellen Ngoromera WAKATI joto la uchaguzi mkuu likizidi kupanda katika maeneo mengi nchini, wananchi wametahadharishwa na kutakiwa kuwa na dhamira ya dhati kuwakataa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kutokana na utandawazi pamoja na soko huria, siku hizi tumeshuhudia muingiliano wa mkubwa wa kibiashara ambapo yako makampuni mengi ya kigeni yamefungua biashara hapa nchini na hivyo tumejikuta...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Angalia namna alivyokuwa akijibizana na vyombo vya habari na kisha linganisha na Ndulu!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumekuwa tukisema kila saa amekufa kwa mapenzi ya mungu bwana ametoa bwana ametwa lakini sijapata kuona sehemu inasema ni mapenzi ya MUNGU mtu kufa,...nikaona tusaidiane jamani kuelimishana...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Asante sana Mheshimiwa Raisi wetu wa jamuhuri ya muungano kwa hotuba yako ya mwaka mpya,mimi kama mwananchi naomba nikujibu baadhi ya mambo uliyoeleza kwenye hotuba yako,na nitajibu kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam JF. Heri ya mwaka wote. Leo nimekuja na wazo ambalo naomba wana jf tulijadili kwa pamoja, naamini watakao kubaliana nami na watakao pingana nami wote watakuwa katika mlengo wa kujenga na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom