Afariki Baada Ya Mahojiano Na Polisi Ukonga - Hii ni sawa?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afariki Baada Ya Mahojiano Na Polisi Ukonga - Hii ni sawa?!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kaitaba, Jul 17, 2009.

 1. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Polisi wa ukonga hapa Dar, jana wamemchukua raia nyumbani kwake jioni, na kwenda naye kituoni kwa mahojiano, ndugu zake walipoenda kesho yake wakaambiwa kuwa ndugu yao, amepata homa hivyo kalazwa amana, walipoenda amana wakakuta amefariki.

  Kamanda wa polisi wa Ilala alipoulizwa na redio wapo jana jioni alisema kuwa huyo raia wakati anahojiwa iligundulika kuwa ana homa hivyo akapelekwa hosp. na kufariki. Je ni sawa?
   
  Last edited: Jul 17, 2009
 2. M

  Msindima JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Je haya mahojiano yaliisha au hayakuisha? Na je mwili wa marehemu umeshafanyiwa uchunguzi ili kubaini kama kuna unyanyasaji wowote alifaofanyiwa marehemu? na baada ya kupata majibu kwa hayo maswali nahisi tunaweza tukapata mwanga katika kuchangia mada hii,ili tusikurupuke kujibu naomba mleta habari atupe full information ili tuweze kuchangia vizuri.
   
 3. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Nafikiri madaktari wtakuwa na nafasi nzuri sana kueleza hilo baada uchunguzi wao wa kitabibu
   
 4. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  another police bonanza scam
   
 5. M

  Malila JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 735
  Trophy Points: 280
  Mleta hoja atwambie,marehemu alikuwa anahojiwa nini.
   
Loading...