Biashara haramu ya mazao ya misitu

Biashara haramu ya mazao ya misitu

Kamjingijingi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2009
Posts
806
Reaction score
129
Mjadala uliotawala katika bunge kuhusu Wizara ya maliasili na utalii, kuhusu contena zilizoshikwa na pembe za ndovu huko vietnam, wanashagha nini ? Eti limepitaje mpaka kufika huko ? Naona wengi wamesahau kuhusu magogo ! kwani mpaka sasa bado hao wachina wana wawakilishi wao hapa nchini. Na wengine wanaendelea na shughuli yao huko maeneo ya mbagala !
Hilo ni shamba la bibi ! Wana JF mnaionaje hiyo ? kweli tutaweza kutunza mazingira yetu ? Makotena hayaruki hewani yenyewe, yanapita bandarini kiholela ! Hizi wizara ya "maliasili" na wizara ya "mazingira" zina lala usingizi mpaka wakati wa budget ! Au mpaka Mheshimiwa Anna Malecela alipue ? Anastahili pongezi kwa ujasiri aliouonyesha na kupewa wizara ya mazingira tuokoe nchi yetu kuwa jangwa !
 
Back
Top Bottom