Kuundwa kwa serikali itakayojali maslahi ya watanzania wengi

bnhai

JF-Expert Member
Jul 12, 2009
2,778
2,299
Tumekuwa katika harakati nyingi saana za kuelezea masikitiko yetu ya namna nchi inapoelekea. Kila mtu anaguswa kwa namna moja au nyingine na mustakabali wa Taifa. Sasa ndugu wana JF, je tunao watu tunaoamini ni wasafi wanaoweza kuongoza nchi bila kujali maslahi yao binafsi? Kama tulivyoorothesha mafisadi basi tuwataje hao wasafi huenda hawafiki
 
Back
Top Bottom