Kaseja V/s Kandoro. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kaseja V/s Kandoro.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Swahilian, Nov 5, 2010.

 1. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Eti inasemekana Nyanda nambari moja wa Simba s.c na Taifa Stars Bw. Juma Kaseja alikataa kutoa mkono wa salamu kwa mgeni rasmi Bw. Abas Kandoro mkuu wa mkoa wa Mwanza.

  Kwani huyu Kaseja na Kandoro wana magomvi yeyote au ndio umaarufu wenyewe?
  Nimestaajabu sana tabia hii ya Mwanaspoti huyu lakini siwezi kumlaumu kwani sijui kisa hasa ni nini, japo kitendo cha kutotoa mkono si cha kiungwana na hasa ukichukulia kuwa Mh. Kandoro ni kama Baba kwa Kaseja.
  Au ndo watu wa Kigoma wakikutana kwa watu hawasalimiani?
   
 2. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mi nadhani utafute chanzo kwanza itakuwa vyema kujua ni kwanini, pengine alistahili kwa alilolifanya kaseja
   
 3. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2010
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hakuna kustahili hapo bwanaa! Ni utovu wa nidhamu tu.
   
Loading...