Matumizi ya compyuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matumizi ya compyuta

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tug, Nov 4, 2010.

 1. t

  tug New Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nilivyokuwa naelewa, kabla ya uchaguzi wa Oct 31, 2010 ni kwamba Compyuta inarahisisha utendaji wa kazi. lakin katika hali ya kushangaza nimesikia matumizi ya kompyuta ndio yanayosababisha ucheweshaji wa matokeo ya uraisi. ninaomba msaada kwa hili.
   
 2. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Swali lako zuri tuwaulize EU, UNDP na NEC ya Lewis Mkame
   
 3. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Ndugu yangu, Tanzania computer inachelewesha vitu kinyume na wenzetu nchi zilizoendelea ambapo computer inaharakisha mambo. Niliwahi kumpeleka dada yangu hospital muhimbili, tulikaa kwenye foleni masaa matatu kisa tumeambiwa 'system haijaamka'. Ukienda kwenye mabenki majibu ni hayo hayo! na tume ya uchaguzi nayo majibu ni hayohayo! hivi sisi tumelaaniwa au nini hasa?
   
 4. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Umewahi kusikia "GIGO" au Garbage in garbage out?
   
Loading...