Baraza la Habari limekufa?

QUALITY

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
853
115
Nimekuwa nafuatilia matangazo kwenye TV kuwa kama kuna habari haijakupendeza, uwaambie. je wao ni kama mahakama? Magazeti yanayoendekeza udini na kutukana watu kama Habari leo, Al-kaida(sorry Al-huda) n.k na Channel Ten hawayaoni? Au hayo si sehemu ya habari?

Kama Baraza hilo lipo, linafanya nini na hivyo vyombo ambavyo vipo kwa ajili ya uchochezi?
:evil:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom