Swali kwa Great Thinkers Tu.

akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2009
Messages
401
Likes
4
Points
33
akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2009
401 4 33
Mambo makubwa duniani yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutokana na uwekezaji mkubwa kwenye Utafiti na maendeleo au kwa kiingereza 'Research and Development' kwa kifupi R&D.

Katika hili kuna kujiuliza mengi ili kufikia lengo kwa gharama nafuu lakini kwa viwango bora na mazingira bora.VFM- Value for Money.

Kwa kifupi kwenu wajuzi wa R&D. Naomba tufanye utafiti makini na kisha tujadiliane kupata mbinu mbalimbali juu ya swali lifuatalo.

Kwa kuwa sababu tunazo, nia tunayo na uwezo umechakachuliwa,

Tutawezaje kuing'oa CCM madarakani bila kumwaga damu?

VFL - Value for life.
 
Mpangamji

Mpangamji

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Messages
538
Likes
7
Points
35
Mpangamji

Mpangamji

JF-Expert Member
Joined May 12, 2010
538 7 35
Mambo makubwa duniani yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutokana na uwekezaji mkubwa kwenye Utafiti na maendeleo au kwa kiingereza 'Research and Development' kwa kifupi R&D.

Katika hili kuna kujiuliza mengi ili kufikia lengo kwa gharama nafuu lakini kwa viwango bora na mazingira bora.VFM- Value for Money.

Kwa kifupi kwenu wajuzi wa R&D. Naomba tufanye utafiti makini na kisha tujadiliane kupata mbinu mbalimbali juu ya swali lifuatalo.

Kwa kuwa sababu tunazo, nia tunayo na uwezo umechakachuliwa,

Tutawezaje kuing'oa CCM madarakani bila kumwaga damu?

VFL - Value for life.
Tuwe wazalendo na nchi yetu. tusimwonee mtu haya, tutumie taaluma zetu kuwaelimisha ndugu, jamaa zetu walioko vijijini waelewe udharimu na ufisadi unaofanywa na CCM ili waondokane na kuwa mtaji imara wa CCM. Ukiangalia data chache za uchaguzi mwaka huu, Vyama vya upinzani vimeshinda zaidi mjini kuliko vijijini na sehemu zenye umaskini mkubwa. hivyo basi natoa wito wa kuanza sasa kutoa elimu haki za watanzania na mali tulizonazo kwa watu wa vijijini. sisi wasomi tuweke pembeni maslahi binafsi. Tafiti za wapi pa kuanzia tayari zimetolewa na mchakato wa kura za uchaguzi mkuu. Anza kazi.
 
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
9,392
Likes
467
Points
180
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
9,392 467 180
Kwa NEC hii hii na matumizi ya nguvu as well as makada/wasimamizi wa uchaguzi wa chama kwa kisingizio cha ufanyaji kazi serikalini lazima watu tujitoe mhanga kwa manufaa ya wengi.
Ingawa plan B ya kuweza kubadili niliyoyataja apo juu vile vile ni possible
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
14,910
Likes
4,395
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
14,910 4,395 280
NAMUUNGA MKONO mpangamji!!
 
akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2009
Messages
401
Likes
4
Points
33
akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2009
401 4 33
Kwa NEC hii hii na matumizi ya nguvu as well as makada/wasimamizi wa uchaguzi wa chama kwa kisingizio cha ufanyaji kazi serikalini lazima watu tujitoe mhanga kwa manufaa ya wengi.
Ingawa plan B ya kuweza kubadili niliyoyataja apo juu vile vile ni possible
Mkuu ndio maana najaribu kufikiria tutawezaje kufikiria nje ya boksi ikiwa ndani ya boksi kumejaa. 'thinking outside the box'.

Yaani suala lisiwe kama wameiba basi tupasuane vichwa, nadhani kama 'GREAT THINKERS' tunaweza kusaidia watoto na wajukuu zetu kwa kutumia 'bongo' zetu kuliko ngumi zetu kutatua matatizo yaliyopo. Je ni kweli tumeishiwa mawazo kiasi cha kudhani ngumi pekee ndio utatuzi wa matatizo yetu. Sisi sote ni watanzania tukipigana..nani anampiga nani kwa faida ya nani....naona utakuwa uvivu wa kufikiri na kutafakari.

Japo wizi unachochea ghasia lakini najaribu kufikiria pale marekani...florida...ilipodhaniwa kuwa 'Bush' alichakachua kwa kutumia 'Secret Service' na CIA kilifanyika nini baadaye...hawakupasuana vichwa bali utafiti wa tangu enzi na enzi uliwasaidia kuhakikisha kuwa wananchi walipochoka na sera za Republican...Democrats walikuwa na uhakika kuwa yeyote ambaye angepita kwenye chaguzi za chama angechaguliwa kuongoza USA. Obama akapita Democrats na hivyo akapita kijumla.

Vipi kuhusu muungano wa vyama vya upinzani?

Vipi kuhusu elimu ya uraia vijijini?

Vipi kuhusu uwazi wa mahesabu ya kura?

Vipi kuhusu uhuru wa tume ya uchaguzi?. 'independency'. As professionals you should not only be independent but also you should seem to be independent.

WHAT SHOULD WE DO???? WHERE DID WE SUCCEED IN PREVENTING CHAKACHUARING, SO WHAT IS OUR LESSON ON THAT? ETC ETC.
 
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
4,003
Likes
1,443
Points
280
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
4,003 1,443 280

SWADAKTAAAA.... umegusa haswaaa nilichokuwa nikikiandika wakati wote. embu subiri kwanza watu jazba zishuke na wajue ni nini wanachokitaka, laa sivyo...:smile-big:
 
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Messages
12,556
Likes
2,368
Points
280
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2010
12,556 2,368 280
Tutawezaje kuing'oa CCM madarakani bila kumwaga damu?
Kuna jamaa mwanafalsafa mmoja alisema kuwa
jamii hata kama itakuwa na ujinga wa namna gani, itakapo nyonywa vya kutosha na viongozi, basi jamii yenyewe itasimama bila kuamrishwa na yeyote nayo itafanya mapinduzi
Rodney W naye alisema,
uongozi wowote wa kiserikali una mbegu zitakazoufanya uanguke
hii tumeiona wakati wa uchaguzi ulopita kwani ukilinganisha kura za urais na idadi ya wabunge waccm na ile ya '05 nadhani waweza kuona ni jinsi gani hawa jamaa wanaelekea kuanguka. Tusijilaumu sana kwa hawa jamaa kwani wamekaa madarakani muda mrefu so wamekwisha jijingea mizizi ambayo inawafanya wadhani kuwa watatawala milele.
lakini miaka mitano ni mingi na michache vilevile
namkumbuka Adeyamo mwandishi alisema
When the pressure is high upon the subodinates, whatever is inside comes to the surface
Siku si nyingi tutawaona wadanganyika wakiitoa hii.Yeyote apaswa kujiuliza kwamba kama serikali ya mseto imefanyika Zanzibar yenye majimbo yasiyozidi hamsini na tano, kwanini isifanyike bara kwenye majimbo zaidi ya miambili, au wanasubiri tuchinjane kama zenji ndo wajisifu kwa muafaka?

Kuna mwingine (Maxwell C) katika kitabu chake cha mwaka juzi alisema hivi kuhusu uongozi
How do leaders earn respect? By making sound decisions, by admitting their mistakes, and by putting what is best for their followers and the organization ahead of their personal agenda
hili huwezi lipata kwa vipngozi a ccm, for them, they keep on calling a spade a big spoon instead of calling it by its name. Utamuona na kumsikia kiongozi wa chama na nchi akihutubia kuwa kwa kipindi cha uongozi wake maendeleo yamekuwepo na kuongezeka na sababu ya kujustify statement yake atakwambia kuwa
foleni za magari dar zimeongezeka
na atapigiwa makofi na kushangilia, hivi tuna akili kweli sisi?
Sacrifice is an on going process, not a one time payment
Wala tusife moyo. Hawa vingozi wa ccm walowengi wanakwenda kinyume cha hii principle
Leaders tell but never teach until they practice what they preach
na hii ndo dichotomy tunayoiona kati ya ahadi na utekelezaji wa ilani ya ccm.

Mkuu, nimalizie tu kwa kurudia maneno ya Analyst mmoja aitwaye Miller J aliposema
The only thing that walks from the tomb with the mourners and refuses to to be buried is the character of a man/woman. this is true, what a man/woman is survives him. it can never be buried
watatudanganya kwa kununuliwa kanga na kofia kuonesha kuwa wanatujali but tukikubali basi tutaendelea kudanganyika. Principle wanayoitumia ni ile ya kukuza mambo ili waonekane wazuri. Socrates aliposhitakiwa kwa uongo alisema
Momentum is like a magnifying glass; it makes things look bigger than they are
We have always to remember according to Huffty S. that
It is not the position that makes a leader ; it is a leader that makes the position
In Tanzani, this will never ever be realized as long as the incumbent ccm and all its traits are still on power
Nawasilisha!
 
akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2009
Messages
401
Likes
4
Points
33
akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2009
401 4 33
Kuna jamaa mwanafalsafa mmoja alisema kuwa

Rodney W naye alisema,
hii tumeiona wakati wa uchaguzi ulopita kwani ukilinganisha kura za urais na idadi ya wabunge waccm na ile ya '05 nadhani waweza kuona ni jinsi gani hawa jamaa wanaelekea kuanguka. Tusijilaumu sana kwa hawa jamaa kwani wamekaa madarakani muda mrefu so wamekwisha jijingea mizizi ambayo inawafanya wadhani kuwa watatawala milele.

namkumbuka Adeyamo mwandishi alisema Siku si nyingi tutawaona wadanganyika wakiitoa hii.Yeyote apaswa kujiuliza kwamba kama serikali ya mseto imefanyika Zanzibar yenye majimbo yasiyozidi hamsini na tano, kwanini isifanyike bara kwenye majimbo zaidi ya miambili, au wanasubiri tuchinjane kama zenji ndo wajisifu kwa muafaka?

Kuna mwingine (Maxwell C) katika kitabu chake cha mwaka juzi alisema hivi kuhusu uongozi hili huwezi lipata kwa vipngozi a ccm, for them, they keep on calling a spade a big spoon instead of calling it by its name. Utamuona na kumsikia kiongozi wa chama na nchi akihutubia kuwa kwa kipindi cha uongozi wake maendeleo yamekuwepo na kuongezeka na sababu ya kujustify statement yake atakwambia kuwa na atapigiwa makofi na kushangilia, hivi tuna akili kweli sisi?
Wala tusife moyo. Hawa vingozi wa ccm walowengi wanakwenda kinyume cha hii principle na hii ndo dichotomy tunayoiona kati ya ahadi na utekelezaji wa ilani ya ccm.

Mkuu, nimalizie tu kwa kurudia maneno ya Analyst mmoja aitwaye Miller J aliposema watatudanganya kwa kununuliwa kanga na kofia kuonesha kuwa wanatujali but tukikubali basi tutaendelea kudanganyika. Principle wanayoitumia ni ile ya kukuza mambo ili waonekane wazuri. Socrates aliposhitakiwa kwa uongo alisema

We have always to remember according to Huffty S. that In Tanzani, this will never ever be realized as long as the incumbent ccm and all its traits are still on power
Nawasilisha!
Yaap. This is from a think tank. Naamini mwisho wa Utafiti wetu tutapata jawabu na tutalifanyia kazi.

Nimeshaanza pia kufikiria kujitolea kusafiri nchi nzima kuanzia Januari Mwakani kuelimisha Umma wa watanzania. Watu kumi tunatosha kufanya mabadiliko makubwa.

Lakini bado kuna mbinu nyingi zitatokea hapa kwa 'Great thinkers'.
 
Gsana

Gsana

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Messages
4,413
Likes
416
Points
180
Gsana

Gsana

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2010
4,413 416 180
Asanteni kwa wachangiaji mada kwa mawazo mliyoleta. In order to achieve V4L yan value for life we should do V4LA i.e Value for Life Audit. This is achieved in three principles/3Es: Economy,Efficiency and Effectiveness. In economy,opposition party mainly Chadema need no much resources lyk Ccm,what is need is to use available scarce fund to change human mind into constructive idea,we should not use much fund to cheat our voters lyk our opponent but change their minds. Efficience: we should efficiently utilize available human capital i.e scholars to impart civil education to voters. Educate them on corrupt leadership and thus make a best choice in elections. In effectiveness: opposition has not best covered Tz, we need operation to reach each voter in each constituency. As well we need to have Chadema secret servicemen to exploit every ideas from our rulers,as well we should effectively launch a movement to urge foreigner to have a look on unjust NEC,then build a new next to replace the latter. It also works to add ccm on the 3enemies of the Nation to make a sum of5. Namely,poverty,illiteracy ,disease ,corruption/fisadism and fifth ccm a nation enemy! I hav lot to write but ends here meanwhile!
 
Ninja

Ninja

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2010
Messages
334
Likes
303
Points
80
Ninja

Ninja

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2010
334 303 80
Kwa njia ya kuweka wagombea makini kwenye majimbo yote ya uchaguzi, pia kuweka mawakala majimbo yote, Kutoruhusu watu kupita bila kupingwa. kufanya kampeni bila uchochezi, kutumia watu wanaopendwa kwenye kampeni kama ze komedi. kutangaza sera zinazotekelezeka. kuhakikisha wanachama na wapenzi wanajiandikisha kupiga kura, kulinda kura, kutopokea rushwa, kutosalitiana wapinzani.

Mwisho kukubali matokeo.
 
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
4,003
Likes
1,443
Points
280
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
4,003 1,443 280
Ingelikuwa mimi ni kiongozi wa Upinzani, baada ya wao kuanza kutoa matangazo ya ushindi wao, nisingelipiga nao kelele. Ningelianza ziara mtaa kwa mtaa, kijiji kwa kijiji, kujinadi upya huku nikiwashirikisha wananchi kuwashuhudia hao wezi namna wanavyovuruga demokrasia na kukandamiza haki za wananchi.

Mipango iko ya namna mbili:
ya mpito (wenyewe wanasema ya muda mfupi) na ya muda mrefu. hebu tazama, mtoto aliezaliwa mwaka 1995 (wakati wa usanii wa kwanza wa kura za vyama vingi - baada ya kurejeshwa) uchaguzi huu uliopita wamepiga kura na ndizo hizo zilozoitetemesha si si emu. je mnawaandaaje wapiganaje hao kwa uchaguzi wa 2015?

Ingelikuwa ni mimi, ningelitengeneza vituo vya mawasiliano kwa vijana (Youth Information Centers) angalau kila makao makuu ya jimbo, hapa ndipo pa kuanzia... Utaniuliza pesa ningelizitoa wapi - nitakujibu "je wale kina Sabodo walionipa pesa za Kampeni watakataa kunipa za kujiimarisha?" Utaniuliza "je kama hawakukupa?" nitakujibu "hapo nitakuwa na njia mbadala - ukishindwa kuvua samaki kwa nyavu watumia ndoana" na itakuwa imejulikana hao waliotoa pesa wakati wa kampeni si wakweli wa kukuza ushindani na demokrasia. Nitajipanga upya na watu wakweli wenye uchungu na nchi, tutajitolea thumni kwa thumni na ndani ya miaka mitatu tutakuwa tumeenea kwa zaidi ya asilimia sitini. Ikifika wakati wa kampeni, hatuta-deal na wale wanaotoa michango yao ili baadae waje kulipwa fadhila kwa kulindiwa maslahi na biashara zao...

Nimewasilisha mwaweza endelea hapo:glasses-nerdy:
 
NATA

NATA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2007
Messages
4,516
Likes
22
Points
135
NATA

NATA

JF-Expert Member
Joined May 10, 2007
4,516 22 135
Mambo makubwa duniani yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutokana na uwekezaji mkubwa kwenye Utafiti na maendeleo au kwa kiingereza 'Research and Development' kwa kifupi R&D.

Katika hili kuna kujiuliza mengi ili kufikia lengo kwa gharama nafuu lakini kwa viwango bora na mazingira bora.VFM- Value for Money.

Kwa kifupi kwenu wajuzi wa R&D. Naomba tufanye utafiti makini na kisha tujadiliane kupata mbinu mbalimbali juu ya swali lifuatalo.

Kwa kuwa sababu tunazo, nia tunayo na uwezo umechakachuliwa,

Tutawezaje kuing'oa CCM madarakani bila kumwaga damu?

VFL - Value for life.
separation of power(MAHAKAMA HURU, EXCUTIVE HURU NA BUNGE HURU) , HASA NEC IWE HURU NA KUWE NA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI
 
newmzalendo

newmzalendo

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Messages
1,370
Likes
89
Points
145
newmzalendo

newmzalendo

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2009
1,370 89 145
Umeandika maelezo mareefu ,mazuuuri .na reference za kutosha tu.Haitosaidia kitu.
CCM ni chama TAWALA,mabadiliko ya amani ya nchi yataanzia Ndani ya CCM na siyo via upinzani wa nje ya CCM.
Vyombo vya msingi.
Tume ya uchaguzi.
Msajili wa Vyama vya siasa
vyombo vyote hivi viko chini ya Mwenyekiti wa CCM ambaye ndiyo Raisi wa Tz.itakapofika muda wa CCM kuwa na Mwenyekiti ambaye siyo Raisi wa nchi hapo ndipo mabadiliko yanaweza kuanza.
Cha msingi ni wapinzani wa CCM kutekeleza ahadi zao za ubunge/udiwani ktk majimbo yao ili wananchi wajue kweli hawa wanalenga kuleta maendeleo ktk nchi,vyama vya upinzani vijenge na kuendesha Maktaba ktk majimbo,ili wananchi waelimike ktk kipindi cha miaka Mitano upinzani utakuwa umekomaa na wananchi wanajua kweli CCM ni chama cha Machakachuo,only then ndio changes zitatokea.
ELSE
tufuate utaratibu wa nchi kama za Asia,UKrain,na jirani zetu za kenya

Kuna jamaa mwanafalsafa mmoja alisema kuwa

Rodney W naye alisema,
hii tumeiona wakati wa uchaguzi ulopita kwani ukilinganisha kura za urais na idadi ya wabunge waccm na ile ya '05 nadhani waweza kuona ni jinsi gani hawa jamaa wanaelekea kuanguka. Tusijilaumu sana kwa hawa jamaa kwani wamekaa madarakani muda mrefu so wamekwisha jijingea mizizi ambayo inawafanya wadhani kuwa watatawala milele.

namkumbuka Adeyamo mwandishi alisema Siku si nyingi tutawaona wadanganyika wakiitoa hii.Yeyote apaswa kujiuliza kwamba kama serikali ya mseto imefanyika Zanzibar yenye majimbo yasiyozidi hamsini na tano, kwanini isifanyike bara kwenye majimbo zaidi ya miambili, au wanasubiri tuchinjane kama zenji ndo wajisifu kwa muafaka?

Kuna mwingine (Maxwell C) katika kitabu chake cha mwaka juzi alisema hivi kuhusu uongozi hili huwezi lipata kwa vipngozi a ccm, for them, they keep on calling a spade a big spoon instead of calling it by its name. Utamuona na kumsikia kiongozi wa chama na nchi akihutubia kuwa kwa kipindi cha uongozi wake maendeleo yamekuwepo na kuongezeka na sababu ya kujustify statement yake atakwambia kuwa na atapigiwa makofi na kushangilia, hivi tuna akili kweli sisi?
Wala tusife moyo. Hawa vingozi wa ccm walowengi wanakwenda kinyume cha hii principle na hii ndo dichotomy tunayoiona kati ya ahadi na utekelezaji wa ilani ya ccm.

Mkuu, nimalizie tu kwa kurudia maneno ya Analyst mmoja aitwaye Miller J aliposema watatudanganya kwa kununuliwa kanga na kofia kuonesha kuwa wanatujali but tukikubali basi tutaendelea kudanganyika. Principle wanayoitumia ni ile ya kukuza mambo ili waonekane wazuri. Socrates aliposhitakiwa kwa uongo alisema

We have always to remember according to Huffty S. that In Tanzani, this will never ever be realized as long as the incumbent ccm and all its traits are still on power
Nawasilisha!
 
Msanii

Msanii

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2007
Messages
6,446
Likes
393
Points
180
Msanii

Msanii

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2007
6,446 393 180
Wakuu. tuachane na longolongo zetu.
Mimi nasema kwamba inabidi kuongeza bidii kuwaelimisha watanzania kwa nini wanapaswa kuuchukia umaskini na ujinga yaani kukosa elimu. pia walelewa wana nafasi gani ktk kufaidi matunda ya uhuru na namna ambavyo rasilimali za taifa zinavyopaswa kuwanufaisha.
Tukitoa elimu hii walah tutakuwa na taifa lenye wazalendo kuliko tunavyodhania. Tudumishe amani lakini tuitumie amani kufanikisha malengo ya maendeleo.
Haiwezekani kuimba kwamba all the positive achievement since uhuru ni amani huku tumegubikwa na umasikini ujinga wa kutupwa.
 
M

Mike 1234

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2009
Messages
1,634
Likes
4
Points
0
M

Mike 1234

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2009
1,634 4 0
Tuwe wazalendo wa kweli, na vyama viache unafiki viungane na kutoa nafasi kwa zile sehemu ambazo wengine wanakubalika kuepusha kugawana kura, mfano mzuri jimbo la kinondoni, segerea na ukonga,mwisho wasomi watoe elimu vijijini ambapo ndipo sisemi anakoshindia kwa wingi sana wa kura
 
Wambandwa

Wambandwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2006
Messages
2,255
Likes
386
Points
180
Wambandwa

Wambandwa

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2006
2,255 386 180
Ingelikuwa mimi ni kiongozi wa Upinzani, baada ya wao kuanza kutoa matangazo ya ushindi wao, nisingelipiga nao kelele. Ningelianza ziara mtaa kwa mtaa, kijiji kwa kijiji, kujinadi upya huku nikiwashirikisha wananchi kuwashuhudia hao wezi namna wanavyovuruga demokrasia na kukandamiza haki za wananchi.

Mipango iko ya namna mbili:
ya mpito (wenyewe wanasema ya muda mfupi) na ya muda mrefu. hebu tazama, mtoto aliezaliwa mwaka 1995 (wakati wa usanii wa kwanza wa kura za vyama vingi - baada ya kurejeshwa) uchaguzi huu uliopita wamepiga kura na ndizo hizo zilozoitetemesha si si emu. je mnawaandaaje wapiganaje hao kwa uchaguzi wa 2015?

Ingelikuwa ni mimi, ningelitengeneza vituo vya mawasiliano kwa vijana (Youth Information Centers) angalau kila makao makuu ya jimbo, hapa ndipo pa kuanzia... Utaniuliza pesa ningelizitoa wapi - nitakujibu "je wale kina Sabodo walionipa pesa za Kampeni watakataa kunipa za kujiimarisha?" Utaniuliza "je kama hawakukupa?" nitakujibu "hapo nitakuwa na njia mbadala - ukishindwa kuvua samaki kwa nyavu watumia ndoana" na itakuwa imejulikana hao waliotoa pesa wakati wa kampeni si wakweli wa kukuza ushindani na demokrasia. Nitajipanga upya na watu wakweli wenye uchungu na nchi, tutajitolea thumni kwa thumni na ndani ya miaka mitatu tutakuwa tumeenea kwa zaidi ya asilimia sitini. Ikifika wakati wa kampeni, hatuta-deal na wale wanaotoa michango yao ili baadae waje kulipwa fadhila kwa kulindiwa maslahi na biashara zao...

Nimewasilisha mwaweza endelea hapo:glasses-nerdy:
Hiyo ndo elimu ya URAIA. Watanzania wengi waliojiandikisha hawakupiga kura sababu ni nyingi - shahada kununuliwa na CCM etc...

Na tuliopiga kura zetu zimechakachuliwa. Wengi hawajui kwamba tunapomcgaua kiongozi ni sawasawa tunamwajiri inabidi afanye kazi kwa maslahi ya taifa na si vinginevyo. CCM ni chama kilichotokana na TANU na ASP - vyama vilivyoasisi uhuru wa nchi hii. Wengi wa waanzilishi wamekufa au ni wazee mno (Kinginge na wenzie) hivyo wanaokiongoza ni sawa na watoto wanaoishi kwa kutegemea mali ya urithi - hivyo CCM inaongozwa na warithi ambao hawajui maana halisi ya uzalendo wao wanachojua ni chama kuwanufaisha wao tu na si taifa.

With PEOPLE'S POWER tunaweza kabisa kuthubutu kuwaambia hawa watu kwamba imetosha, kaeni pembeni waje wengine wenye uzalendo na nchi hii.
 
J

Jack Beur

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2010
Messages
218
Likes
106
Points
60
J

Jack Beur

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2010
218 106 60
Wabunge wa upinzani waliofanikiwa kuingia Bungeni wasichoke kudai Katiba mpya, kwani tusitegemee lolote jipya kwa katiba tuliyonayo.
 
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
4,003
Likes
1,443
Points
280
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
4,003 1,443 280
Hiyo ndo elimu ya URAIA. Watanzania wengi waliojiandikisha hawakupiga kura sababu ni nyingi - shahada kununuliwa na CCM etc...

Na tuliopiga kura zetu zimechakachuliwa. Wengi hawajui kwamba tunapomcgaua kiongozi ni sawasawa tunamwajiri inabidi afanye kazi kwa maslahi ya taifa na si vinginevyo. CCM ni chama kilichotokana na TANU na ASP - vyama vilivyoasisi uhuru wa nchi hii. Wengi wa waanzilishi wamekufa au ni wazee mno (Kinginge na wenzie) hivyo wanaokiongoza ni sawa na watoto wanaoishi kwa kutegemea mali ya urithi - hivyo CCM inaongozwa na warithi ambao hawajui maana halisi ya uzalendo wao wanachojua ni chama kuwanufaisha wao tu na si taifa.

With PEOPLE'S POWER tunaweza kabisa kuthubutu kuwaambia hawa watu kwamba imetosha, kaeni pembeni waje wengine wenye uzalendo na nchi hii.
:smile: nji hii....... wanatutoa kwenye mambo ya msingi tunayopaswa kufikiri kwa ajili ya maendeleo na kutupeleka tufikiri tusiyotaka kuyafikiri yaani! Je kwanini hawataki kutoa elimu ya uraia mashuleni ipasavyo?
 
Swahilian

Swahilian

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2009
Messages
585
Likes
11
Points
35
Swahilian

Swahilian

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2009
585 11 35
SWADAKTAAAA.... umegusa haswaaa nilichokuwa nikikiandika wakati wote. embu subiri kwanza watu jazba zishuke na wajue ni nini wanachokitaka, laa sivyo...:smile-big:
Hakika umepekenyua palo stahili na umekaribia kugusa,

nikitathimini kauli ya kusema tumwage damu sioni kama ni suluhisho bora, tuanze kuishi misituni enh! Hata vocha, na wana jf tutakuwa tunajadiliana vp? Na hata hiyo damu tukishamwagana sijui kama wana jf wote tutarudi tena kwenye forum!
Enh! Tunao marafiki, watoto, wachumba na ndugu ambao wanayo mitazamo tofauti na yetu na hakika tunawapenda.
Enh! Je? Tuko tayari kuwakosa au wewe kunikosa mie? Mie nafkiri Elimu ya kujitambua ni muhimu zaidi ya yote.
'' love is the only weapon to transform your enemy into being your frend''
Tujitahidi kusaidiana na kuvumiliana kiasi kwani hata baadhi ya misingi tulojiwekea haijakomaa vilivyo.

''kama sie leo basi kesho tutaweza''

Someni ''Strength to Love''Kitabu kilichoandikwa na Martin Luther King Jr.
 
R

ral

Senior Member
Joined
Dec 30, 2009
Messages
127
Likes
1
Points
35
R

ral

Senior Member
Joined Dec 30, 2009
127 1 35
Brother i always appreciate your posts, what you said and quote, is absolutely true, that is a fact

Kuna jamaa mwanafalsafa mmoja alisema kuwa

Rodney W naye alisema,
hii tumeiona wakati wa uchaguzi ulopita kwani ukilinganisha kura za urais na idadi ya wabunge waccm na ile ya '05 nadhani waweza kuona ni jinsi gani hawa jamaa wanaelekea kuanguka. Tusijilaumu sana kwa hawa jamaa kwani wamekaa madarakani muda mrefu so wamekwisha jijingea mizizi ambayo inawafanya wadhani kuwa watatawala milele.

namkumbuka Adeyamo mwandishi alisema Siku si nyingi tutawaona wadanganyika wakiitoa hii.Yeyote apaswa kujiuliza kwamba kama serikali ya mseto imefanyika Zanzibar yenye majimbo yasiyozidi hamsini na tano, kwanini isifanyike bara kwenye majimbo zaidi ya miambili, au wanasubiri tuchinjane kama zenji ndo wajisifu kwa muafaka?

Kuna mwingine (Maxwell C) katika kitabu chake cha mwaka juzi alisema hivi kuhusu uongozi hili huwezi lipata kwa vipngozi a ccm, for them, they keep on calling a spade a big spoon instead of calling it by its name. Utamuona na kumsikia kiongozi wa chama na nchi akihutubia kuwa kwa kipindi cha uongozi wake maendeleo yamekuwepo na kuongezeka na sababu ya kujustify statement yake atakwambia kuwa na atapigiwa makofi na kushangilia, hivi tuna akili kweli sisi?
Wala tusife moyo. Hawa vingozi wa ccm walowengi wanakwenda kinyume cha hii principle na hii ndo dichotomy tunayoiona kati ya ahadi na utekelezaji wa ilani ya ccm.

Mkuu, nimalizie tu kwa kurudia maneno ya Analyst mmoja aitwaye Miller J aliposema watatudanganya kwa kununuliwa kanga na kofia kuonesha kuwa wanatujali but tukikubali basi tutaendelea kudanganyika. Principle wanayoitumia ni ile ya kukuza mambo ili waonekane wazuri. Socrates aliposhitakiwa kwa uongo alisema

We have always to remember according to Huffty S. that In Tanzani, this will never ever be realized as long as the incumbent ccm and all its traits are still on power
Nawasilisha!
 
Forum statistics

Threads 1,236,906
Members 475,327
Posts 29,271,945