Mwl Nyerere akiwa kwenye foleni ya kupiga kura enzi hizo..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwl Nyerere akiwa kwenye foleni ya kupiga kura enzi hizo.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by M-mbabe, Oct 29, 2010.

 1. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,132
  Likes Received: 2,364
  Trophy Points: 280
  [FONT=&quot]Mzee wetu hakuwa na hili wala lile - alisimama kwenye foleni kama mimi na wewe.
  Sina uhakika kama JK & co huwa wanasubiri foleni kama hivi!

  Anyways, tukiachana na hayo ya akina JK lengo la msingi hapa ni kutoa rai kwenu nyote kuwa tukapige kura J2. Hii picha ya Mwalimu iwe kichocheo (inspiration).
  [/FONT]
   

  Attached Files:

 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Life is too serious to be taken seriously
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Inafurahisha sana.
  Mwalimu alikuwa na utu, si hawa matapeli wetu wanaopenda kuheshimiwa kila mahali!
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 84,337
  Likes Received: 56,627
  Trophy Points: 280
  JK ni mtu mpenda makuu na angelipenda tumsujudie lakini amesahau ya kuwa..............ukijikweza jamii itakukwazwa...Ni Raisi wa kwanza wa nchi hii kutumia gari la kifahari aina ya BMW.........................yeye kwa kutumbua tu ndiye mwenyewe na sis wengine tutaambulia ahadi hewa..
   
 5. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo ndio Julius Kambarage (JK wa kweli wengine hata si fotocopy wala nini wapowapo) Nyerere bana!
   
 6. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,301
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  Kweli Nyerere alikuwa anipenda nchi yake na watu wake! Jinsi alivyopiga foleni, yaani kuonyesha kwamba yeye naye ni mmoja wenu! I like this photo. Nipatichukua na kuwaelezea wanangu juu ya viongozi tuliokuwa nao kabla nchi haijapinduliwa na mafisadi.
   
 7. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 23,000
  Likes Received: 12,601
  Trophy Points: 280
  Nyerere alikuwa true man of the people, ni mtu wa watu kwa dhamira na matendo, ila pia JK ni mtu wa watu, japo yeye ni kwa ubishoo!.
   
 8. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 4,467
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Julius Kambarage alikuwa mtu wa aina yake. Nina imani yupo peponi
   
 9. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #9
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,132
  Likes Received: 2,364
  Trophy Points: 280
  Hapo kwenye red = NO.
  JK = impostor (pretender) wa hicho hapo kwenye red
   
 10. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,562
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  nyerere.jpg
  Nimeona nikusaidie kuiweka hapa hii pic.
   
 11. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mwalimu aliipenda nchi na watu wake.
  Kama alivyosema M-babe, huyu msanii ni ana-pretend kuwa karibu na watu wakati huu tu, ila mitaa yake anayopenda kuvinjari na kutumia kodi zetu ni ughaibuni
   
 12. kakuruvi

  kakuruvi JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mungu amlaze mahali pema Mwalimu nembo ya Tanzania.
   
 13. d

  dotto JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Tuna viongozi wanaipenda tanzania lakini hawawapendi watanzania. Fukuza wote hao!!!
   
 14. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli, Mimi mwaka 1980 tulipanga naye foleni kituo chakupigia kura cha Msasani. Of course naamini waliokuwa karibu naye walikuwa watu wa usalama wa taifa. Lakini nakumbuka siku hiyo alipofika kituoni tulikuwa kwenye foleni tayari. Alipanga pale alipoukuta mstari. Alisalimiana na watu kwa kuwapa mkono. Hapakuwa na mbwembwe na alitulia kwani aliogopa kuonekana au kujenga hisia za kujipigia kampeni siku ya uchaguzi. Kumbuka wakati huo alikuwa anagombea peke yake naTulikuwa tunapiga kura ya ndiyo kwenye Picha yake au Hapana kwenye Kivuli.
   
 15. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  Very humble,may his soul rest in peace.Amen
   
 16. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,781
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Honestly - Mwl Nyerere has never been my inspirational!

  Ninaamini na naendelea kuamini kuwa Nyerere ndiyo chanzo cha matatizo yoooooooooote tuliyo nayo leo!

  Vijiji vya Ujamaa:: Azimio la Arusha :: Muungano na Zanzibar :: Sera ya Ujamaa na Kujitegemea :: E.t.c yote haya was a total failure!
   
 17. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,056
  Likes Received: 3,416
  Trophy Points: 280

  Mwl Nyerere alikuwa mjanja wa kuchezea akili za watu kwenye picha walio mbele na nyuma ni watu wa System tazama kaunda suti wakati wake mtu wa kawaida asingeweza kuvaa kaunda suti.
   
 18. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2010
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,874
  Likes Received: 985
  Trophy Points: 280
  Naam, namwona Mwangota (kwa wale wanaemkumbuka) naye alikuwepo!
   
 19. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,839
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mzee wangu alikuwa nayo
   
 20. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,199
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Alikuwa anatimiza haki yake ya kiraia na demokrasia katika kupiga kura
   
Loading...