1. KUHUSU PESA, sidhani kama wengi wa watafuta ajira wana pesa; hivyo ni ukosaji wa pesa ndio unamfanya mtu atafute ajira; sasa atatoa wapi hiyo ya ziada?
2. REFA ni muhimu, kwani ni utamaduni lazima ukiomba kazi refa wako atambuliwe na katika kazi nyengine hutakiwa akuandikie barua ya kukuunga mkono, au ulikusudia vipi?
3. Unaweza kuwa na Refa na Pesa na ajira usipate; je unao UZOEFU na Taaluma?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.