Kura Za Urais na Nec - Haiingii Akilini!

T

Tanganyika

Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
67
Likes
0
Points
0
T

Tanganyika

Member
Joined Nov 4, 2010
67 0 0
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na matokeo ya kura za Urais ambayo Nec inatangaza hayaendani na yale ya forms za mawakala hiki ni kitendo cha aibu na ni dhambi kubwa sana, chombo hiki pamoja na waliyokishauri huu upuuzi watapata pigo kubwa sana kutoka kwa Mwenyenzi Mungu, hivi hawa washauri hawawezi kutafakari jambo kuwa linaweza kuleta matokeo mabaya? Wanatakiwa kabla ya kufanya mamuzi waangalie kwanza majibu ya matokeo ya huwo mpango wao! Hata mtoto wa std 3 ukimweleza kinachofanyika na NEC atakushangaa, Nec wanafikiri watanzania ni Mambumbumbu? Huu ni wizi wa kitoto kabisa! Lakini Mwisho wenu umefika labda mtubu mapema kwa Mungu na kwa Watanzania! Watanzania wote tuungane kwa pamoja kuombea jambo hili ili haki itendeke, Mungu wetu ni mwaminifu sana na hasemi Uongo, atalishughulikia jambo hili tena kwa namna ya ajabu sana ambayo itakuwa muujiza kwa kila mtu, tusali bila kukoma! AMEN.
 
Gsana

Gsana

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Messages
4,413
Likes
416
Points
180
Gsana

Gsana

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2010
4,413 416 180
Dah kama kuna copy and paste ya jimbo la geita na lile jingne tajwa,ata kichaa anaweza goma! Ila sheikh yaya ametaja kuwa kwa unajimu wake inawezekana,mh.nasubiri dr.aseme anatakaje mi niunge mkono! Tz bwn,acha 2!
 
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
4,003
Likes
1,443
Points
280
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
4,003 1,443 280
Ningeshauri urudie maelezo ya Rajab Kiravu, Mkurugenzi wa NEC kuhusu tuhuma hizo na pia maelezo kuhusu Geita.

Tembele The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage kwa taarifa zaidi.

Tusiwe na JAZBA.
:smile-big: hesabu iko kama hivi bwana Makame... Zanzibar profesa kapata kura za urais 67% lakini maalim seif kapata 49% kwenye urais wa zanzibar... hapo ndipo huwa napenda nitumie akili zangu kwa ukomo wake aloo!!:smile-big::smile-big:
 
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2008
Messages
512
Likes
0
Points
0
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2008
512 0 0
Zanzibar zimepigwa kura za

(a) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
(b) Rais wa SMZ
(c) Mbunge
(d) Muwakilishi.

Mpiga kura ana uhuru wa kumchagua amtakaye na ni kwenye BALLOT BOX; sio lazima aliompigia Profesa ampigie maalim and vice versa. That is the power of the vote!!

Intuition sio fact.

nawasilisha
 
Baba Mtu

Baba Mtu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2008
Messages
881
Likes
31
Points
45
Baba Mtu

Baba Mtu

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2008
881 31 45
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na matokeo ya kura za Urais ambayo Nec inatangaza hayaendani na yale ya forms za mawakala hiki ni kitendo cha aibu na ni dhambi kubwa sana, chombo hiki pamoja na waliyokishauri huu upuuzi watapata pigo kubwa sana kutoka kwa Mwenyenzi Mungu, hivi hawa washauri hawawezi kutafakari jambo kuwa linaweza kuleta matokeo mabaya? Wanatakiwa kabla ya kufanya mamuzi waangalie kwanza majibu ya matokeo ya huwo mpango wao! Hata mtoto wa std 3 ukimweleza kinachofanyika na NEC atakushangaa, Nec wanafikiri watanzania ni Mambumbumbu? Huu ni wizi wa kitoto kabisa! Lakini Mwisho wenu umefika labda mtubu mapema kwa Mungu na kwa Watanzania! Watanzania wote tuungane kwa pamoja kuombea jambo hili ili haki itendeke, Mungu wetu ni mwaminifu sana na hasemi Uongo, atalishughulikia jambo hili tena kwa namna ya ajabu sana ambayo itakuwa muujiza kwa kila mtu, tusali bila kukoma! AMEN.
Dua la kuku halimpati mwewe.
 
N

Ndinani

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2010
Messages
5,411
Likes
733
Points
280
N

Ndinani

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2010
5,411 733 280
Zanzibar zimepigwa kura za

(a) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
(b) Rais wa SMZ
(c) Mbunge
(d) Muwakilishi.

Mpiga kura ana uhuru wa kumchagua amtakaye na ni kwenye BALLOT BOX; sio lazima aliompigia Profesa ampigie maalim and vice versa. That is the power of the vote!!

Intuition sio fact.

nawasilisha
Random sampling iliyofanyika na wataalam inaonyesha kuwa 99% ya wapigaji kura wa Zanzibar, waliomchagua SEIF walimchagua Lipumba pia!! Sasa hiyo disparity kubwa ya data zenu ni dhahili hizi kura zimechakachuliwa bwana Makame! Ukweli ni huo pengine huujui.
 
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2008
Messages
512
Likes
0
Points
0
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2008
512 0 0
Random sampling iliyofanyika na wataalam inaonyesha kuwa 99% ya wapigaji kura wa Zanzibar, waliomchagua SEIF walimchagua Lipumba pia!! Sasa hiyo disparity kubwa ya data zenu ni dhahili hizi kura zimechakachuliwa bwana Makame! Ukweli ni huo pengine huujui.

EVIDENCE PLEASE YA HIO RANDOM SAMPLING YA WATAALAM, ikiainisha
(a) Author/s of the study
(b) Date of the Study
Usitumie hisia kufikia tuhuma nzito za namna hiyo
 
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
4,003
Likes
1,443
Points
280
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
4,003 1,443 280
Zanzibar zimepigwa kura za

(a) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
(b) Rais wa SMZ
(c) Mbunge
(d) Muwakilishi.

Mpiga kura ana uhuru wa kumchagua amtakaye na ni kwenye BALLOT BOX; sio lazima aliompigia Profesa ampigie maalim and vice versa. That is the power of the vote!!

Intuition sio fact.

nawasilisha
E Makame weee.... yaloanzia KURA za maoni ndo hayo yaloenda kwene uchaguzi wa Rais si wa ZNZ wala Muungano kul wahedi....

Naliambiwa TANGU:

KUICHAGUA CCM ama MATAKWA yake.. NI KUWASALITI WAZANZIBARI... Ndo mana watu walipiga KURA mpaka mshindi akakosekana??? Uliza ilikuwaje BUBUBU matokeo yapi yalibandikwa na yapi yalitangazwa? Uliza kwanini lile jimbo jengine halikupiga kura??? lingeleta tofauti ya kura ngapi??? Huulizi kwanini kule kwa Shamhuna hakutakiwi kufanywa kampeni na vyama pinzani??? yale-yale MWACHENI MZEE APUMZIKE:smile-big: na alipotoka MAPUMZIKONI mlimuonaje??? Mi nilidhani siku hiyo ye ndo angali AMIRIJESHI:smile-big: eee mola wetu Ibariki Tanzania... narudi kwenye mjadala sasa maana ukianza kufikiri yaaani...

nikaambiwa tena na Halmashauri ya kichwa changu.... KUICHAGUA CCM ni kuubariki UFISADI... ni kukubali thamani ya UTU wa mtanzania idhalilike ukomo wa udhalilifu, ni kukubali Umaskini wa akili uendelee kutawala vichwa vyetu, ni kukubali shule za kata sizizokuwa na bee wala tee ziendelee kulea watoto wetu kwa jina la BORA ELIMU huku watoto wa WENYEWE wakisoma SHULE BORA, na wakisha wakitoka huko wanatusimanga kana kwamba STAHILI yetu ndio hiyo... MAKAME kama hu miongoni mwao sijui... ama kama si hivyo nadhani UNAWALIPA FADHILA na kama ndivyo hivyo basi TUSEMEJE... (niwie radhi sana hapo maana nahisi HASIRA zinataka kunzidi) Hivi kweli inaingiaje akilini mtu kwenda kupima uzito aende ughaibuni??? kisha tunashangilia kuletewa vyandarua ilhali kiwanda kiko hapo AR??? Tumelala ama Tumelishakufa KITAMBO? Basi hata kama HATUPIGANI basi hata kusema hamtaki tuseme????????????????????????????????????????????????????????????

Jamani tupelekeni POLEPOLE nasi ni WANANCHI wa NCHI hii hii.... ama tukisemasema MTATU_BASHE, au kutu-JENERO_ULIMWENGU na KOLIMBA???????? Kisa kusemwa??? yani MTUKANYAGE MPAKA KUCHA ZITOKE tukae kugumia tu nyoyoni.....

HAPANA MSITUZIBE :tape: MDOMO wacheni Tuseme VIZAZI VYETU vijue kwamba TULISEMA na hatukupiga NGUMI kwa sababu ya MUSTAKABALI wao
:A S angry: Imani yangu yaniambia: JAMBO OVU LIONDOSHE KWA MKONO (nguvu) KAMA HUWEZI LIONDOSHE KWA MDOMO (kemea) :nono: ama LICHUKIE MOYONI (imani dhaifu kabisa kuliko):A S angry::A S angry:La NAKATAA KUWA NA IMANI HABA.

MJUZI MMOJA ANA THAMANI YA WAJINGA ELFU.
 
Kagemro

Kagemro

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2010
Messages
916
Likes
319
Points
80
Kagemro

Kagemro

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2010
916 319 80
Dua la kuku halimpati mwewe.
Dua la kuku linampata mwewe,usijidanganye,malipo ya Mungu ni hapahapa duniani.Muombee adui yako miaka mingi ili aone mafanikio yako macho yetu siku zao zinahesabiwa.
 
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
4,003
Likes
1,443
Points
280
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
4,003 1,443 280
EVIDENCE PLEASE YA HIO RANDOM SAMPLING YA WATAALAM, ikiainisha
(a) Author/s of the study
(b) Date of the Study
Usitumie hisia kufikia tuhuma nzito za namna hiyo
AMESEMA KWELI, SAMPLING NA USHAHIDI UKISHALETWA UKO TAYARI KUUKUBALI???:cool: Binafsi nimetafiti na nilifuatilia MATOKEO, na mengi ya matokeo yaliotangazwa sio yaliowekwa VITUONI:

Tunapoleta kesi tunakuja na USHAHIDI, Hatufanyi kama watu wa CCM ambao huja na maneno bila HOJA - au hujui kwanini walikimbia MIDAHALO?

TENA MSIJE MKATUSABABISHA KUSEMA OHOOO:cool::A S 114:
 
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2008
Messages
512
Likes
0
Points
0
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2008
512 0 0
Hizo zinaitwa SEMANTICS.

NEC na ZEC wametangaza kura zilizopigwa kwa misingi HURU na HAKI. Mbona mnadharau taarifa za OBSERVERS?

Nyie watu mnachekesha sana, tena inaelekea mngekuwa na Jeshi; mungeuwa kabisa wapinzani wenu. Learn to accept reality and democratic vote iliyotangazwa. Mbona ARUSHA, MASWA, MWANZA and the likes hamlalamiki?

AMESEMA KWELI, SAMPLING NA USHAHIDI UKISHALETWA UKO TAYARI KUUKUBALI???:cool: Binafsi nimetafiti na nilifuatilia MATOKEO, na mengi ya matokeo yaliotangazwa sio yaliowekwa VITUONI:

Tunapoleta kesi tunakuja na USHAHIDI, Hatufanyi kama watu wa CCM ambao huja na maneno bila HOJA - au hujui kwanini walikimbia MIDAHALO?

TENA MSIJE MKATUSABABISHA KUSEMA OHOOO:cool::A S 114:
 
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2008
Messages
512
Likes
0
Points
0
Makame

Makame

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2008
512 0 0
SEMA, USIOGOPE SEMA!

Ila na mimi ninayoyasema nataraji yamefika. Msitake kutoheshimu kura za wananchi.

Kuhusu kura za ZNZ wala USISEME ndugu yangu, kwani Main Opposition Leader amekubali matokeo MIKONO MIWILI.

E Makame weee.... yaloanzia KURA za maoni ndo hayo yaloenda kwene uchaguzi wa Rais si wa ZNZ wala Muungano kul wahedi....

Naliambiwa TANGU:

KUICHAGUA CCM ama MATAKWA yake.. NI KUWASALITI WAZANZIBARI... Ndo mana watu walipiga KURA mpaka mshindi akakosekana??? Uliza ilikuwaje BUBUBU matokeo yapi yalibandikwa na yapi yalitangazwa? Uliza kwanini lile jimbo jengine halikupiga kura??? lingeleta tofauti ya kura ngapi??? Huulizi kwanini kule kwa Shamhuna hakutakiwi kufanywa kampeni na vyama pinzani??? yale-yale MWACHENI MZEE APUMZIKE:smile-big: na alipotoka MAPUMZIKONI mlimuonaje??? Mi nilidhani siku hiyo ye ndo angali AMIRIJESHI:smile-big: eee mola wetu Ibariki Tanzania... narudi kwenye mjadala sasa maana ukianza kufikiri yaaani...

nikaambiwa tena na Halmashauri ya kichwa changu.... KUICHAGUA CCM ni kuubariki UFISADI... ni kukubali thamani ya UTU wa mtanzania idhalilike ukomo wa udhalilifu, ni kukubali Umaskini wa akili uendelee kutawala vichwa vyetu, ni kukubali shule za kata sizizokuwa na bee wala tee ziendelee kulea watoto wetu kwa jina la BORA ELIMU huku watoto wa WENYEWE wakisoma SHULE BORA, na wakisha wakitoka huko wanatusimanga kana kwamba STAHILI yetu ndio hiyo... MAKAME kama hu miongoni mwao sijui... ama kama si hivyo nadhani UNAWALIPA FADHILA na kama ndivyo hivyo basi TUSEMEJE... (niwie radhi sana hapo maana nahisi HASIRA zinataka kunzidi) Hivi kweli inaingiaje akilini mtu kwenda kupima uzito aende ughaibuni??? kisha tunashangilia kuletewa vyandarua ilhali kiwanda kiko hapo AR??? Tumelala ama Tumelishakufa KITAMBO? Basi hata kama HATUPIGANI basi hata kusema hamtaki tuseme????????????????????????????????????????????????????????????

Jamani tupelekeni POLEPOLE nasi ni WANANCHI wa NCHI hii hii.... ama tukisemasema MTATU_BASHE, au kutu-JENERO_ULIMWENGU na KOLIMBA???????? Kisa kusemwa??? yani MTUKANYAGE MPAKA KUCHA ZITOKE tukae kugumia tu nyoyoni.....

HAPANA MSITUZIBE :tape: MDOMO wacheni Tuseme VIZAZI VYETU vijue kwamba TULISEMA na hatukupiga NGUMI kwa sababu ya MUSTAKABALI wao
:A S angry: Imani yangu yaniambia: JAMBO OVU LIONDOSHE KWA MKONO (nguvu) KAMA HUWEZI LIONDOSHE KWA MDOMO (kemea) :nono: ama LICHUKIE MOYONI (imani dhaifu kabisa kuliko):A S angry::A S angry:La NAKATAA KUWA NA IMANI HABA.

MJUZI MMOJA ANA THAMANI YA WAJINGA ELFU.
 
Forum statistics

Threads 1,236,320
Members 475,099
Posts 29,254,163