Elizabeth Ernest na Mwanaidi Abasi
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema haijulikani ni mgawo wa nishati hiyo ambayo mkoani Dar es Salaam, imekuwa ikipatikana kwa njia hiyo, utamalizika...
Hili ni ngumu kuamini lakini kazi tulioianzisha naona shuguli yake imeanza
kwa upende wa kawe wapendwa kuna sehemu tulishabikia sana chadema na kufikia
kutoa wake zetu kafara wasipoipigia chadema...
Wandugu,
hebu nisaidieni kufafanua huo haya maneno hapa; "Kuwika kwa Jogoo kunahitaji Busara".
Ni kweli jogoo hua anawika kwa busara? Na kama ndio, kwani viumbe wengine, ukiwaacha wana-wa -...
Mali zilizookolewa na polisi Mbeya 'zayeyuka'
Na Rashid Mkwinda, Mbeya
WAFANYABIASHARA wa Soko la Uhindini lililoungua moto usiku wa kuamkia jana jijini Mbeya wamelilaumu Jeshi la Polisi...
Mbega ameondoa hadi mapazia ofisini-Mbunge
Tumaini Msowoya, Iringa
VITENDO vya wabunge wa CCM kuhamisha samani na vitu vingine kwenye ofisi za wabunge majimboni, jana liliibukia Iringa Mjini...
IMEZOELEKA sehemu nyingi duniani kusikia kesi nyingi za ubakaji huwahusisha wanaume. Lakini yaliyotokea Papua New Guinea yameshtua ulimwengu baada ya kesi ya kijana mdogo wa kiume kubakwa na...
Naomba mwenye jibu anijuze... Ni vipi tumefika hapa tulipo sasa.
Rushwa sasa imekuwa kama kitu cha kawaida, wafanyakazi serikalini hawakupi huduma eti mpaka uwape takrima.... Wamegeuza shughuli...
VITENDO vya wabunge wa CCM kuhamisha samani na vitu vingine kwenye ofisi za wabunge majimboni, jana liliibukia Iringa Mjini ambako mbunge mpya kwa tiketi ya Chadema, Peter Msigwa amedai kuikuta...
Mimi si waziri mpole-Kawambwa
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa amesema yeye si waziri mpole kwa sababu ya kutotema cheche kama wenzake, bali ni mkali kwa...
Naomba kujulishwa hapa tanzania ni wapi naweza pata majarida ya katuni za tin Tin na kale ka-mbwa kake (kenye akili haina mfano).
Nalijaribu wakati fulani kutafuta kwenye maduka ya vitabu na...
Kama ni kuibiwa na kutapeliwa na Baadhiya wana habari walikosa maadili yatakuwa yamewapata wengi ila hawana pa kusemea maana hata wakisema nani ataandika maana wengi wao wako kundi moja...
MAKALI ya tatizo la umeme yamezidi baada ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kueleza kuwa mgawo wa umeme sasa si wa mikoa saba pekee, bali mikoa yote inayopata umeme kupitia gridi ya taifa...
DEMOKRASIA ni dhana pana. Ni haki ya kila mtu kufanya kile atatakacho almradi havunji sheria.
Dhana hii chimbuko lake ni haki ya binadamu ambayo haiombwi kwa yeyote.
Inafahamika kuwa kila...
SAKATA la wizi wa mamilioni ya fedha, linalowakabili wahasibu wawili wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha(AICC), limechukua sura mpya baada ya uongozi wa kituo hicho, kuamua kuwaondoa...
Tanesco: hatujui mgawo utaisha lini Send to a friend Thursday, 02 December 2010 21:28 0diggsdigg
Meneja Uhusiano wa Tanesco, Badra Masoud
Elizabeth Ernest na Mwanaidi Abasi
SHIRIKA la Umeme...
kupangua makombora bungeni *AWATAKA MAWAZIRI KUUNGANA NA KUWA NA SAUTI MOJA BUNGENI Salim Said RAIS Jakaya Kikwete amewataka mawaziri kuhakikisha wanawajibika kwa umoja wao bungeni, kutetea...
Katika hali isiyo ya kawaida, Hassan Omary, mkazi wa Kata ya Kiungi Madukani katika wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro, amemwua mwanaye wake Joseph Hassan (1.3) kwa kumkanyaga kifuani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.