Kuwika kwa Jogoo kunahitaji Busara

Determinantor

Platinum Member
Mar 17, 2008
57,604
91,625
Wandugu,
hebu nisaidieni kufafanua huo haya maneno hapa; "Kuwika kwa Jogoo kunahitaji Busara".
Ni kweli jogoo hua anawika kwa busara? Na kama ndio, kwani viumbe wengine, ukiwaacha wana-wa - adamu, wana utashi? Naombeni tu msaada, nielewe.
 
Inawezekana jogoo wengine hawana hawana busara, ndio maana unakuta wengine wanawika saa 12 au 1 jioni.
 
Sio kweli, jogoo wengine wanawika bila hata busara ndio maana utakuta wengine wanawika hata ndani ya daladala!
 
Inawezekana jogoo wengine hawana hawana busara, ndio maana unakuta wengine wanawika saa 12 au 1 jioni.

Jogoo ni kama viumbe wengine!hawa unaowaongelea hapa mkuu ni wagonjwa wa akili na suala la busara!!
 
Lazima busara kwa maana jogoo yeyote unayemfahamu/kumfiria lazima awike alfajiri ili uwahi kazini!
 
jogoo ninayemfahamu mm kijijini kwetu akiwika bila busara aliitwa jogoo mshenzi na asubui tu ikifika ni kisu akuna maongezi
 
Ukitaka kujua undani wa jambo hilo muulize Zitto; naambiwa amekuwa na tabia ya kuwika pasipo kufikiri sasa maji yamemfikia shingoni.
 
Mnaongelea jogoo lipi? Maana mwanamume kama hananihii tunasema jogoo lake haliwiki au jongoo hapandi mtungi
 
Sio kweli, jogoo wengine wanawika bila hata busara ndio maana utakuta wengine wanawika hata ndani ya daladala!

Hahaahaaaa, yaani kuna watu wanatembea na majogoo hadi kwenye daladala? daladala zikiwa zimejaza sana ndio anawika? sasa atawikaje kama amebanwa, huyu mmmmhhh sio jogoo tena huyu
 
Back
Top Bottom