Masha, Jenerali Ulimwengu wazichapa

Status
Not open for further replies.

KERENG'ENDE

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
398
195
Nimesikia Marsha Ex minister ameamua kuwa mwanamasubwi baada ya kuzichapa na Jeneral Ulimwengu Bar...Mwenye taarifa kamili atuhabarishe
 
Deodat

JF-Expert Member
Sep 18, 2008
1,275
1,225
Nimesikia Marsha Ex minister ameamua kuwa mwanamasubwi baada ya kuzichapa na Jeneral Ulimwengu Bar...Mwenye taarifa kamili atuhabarishe

Mmmh! kama ni kweli basi huyo bwana karibu ataokota makopo......alianza na kung\oa vitasa vya ofisi ya mbunge, sasa kahamia kwenye masumbwi!
 
ZeMarcopolo

JF-Expert Member
May 11, 2008
14,005
2,000
Nimesikia Marsha Ex minister ameamua kuwa mwanamasubwi baada ya kuzichapa na Jeneral Ulimwengu Bar...Mwenye taarifa kamili atuhabarishe

Duh, si mchezo!

Ila KND. Kama walizipiga wote ni "celebs", kwa nini heading yako inahighlight M boy (Masha) peke yake?
 
ZeMarcopolo

JF-Expert Member
May 11, 2008
14,005
2,000
Mmmh! kama ni kweli basi huyo bwana karibu ataokota makopo......alianza na kung\oa vitasa vya ofisi ya mbunge, sasa kahamia kwenye masumbwi!

Kuna jamaa amesema anata kutoa mlango wa ofisi ya waziri mambo ya ndani kwa madai kuwa ameununua kwa pesa zake!
 
Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,099
2,000
Hiyo itakuwa lini? Jenerali hayupo nchini kwa sasa. Halafu Masha pamoja na mapungufu yake hajafikia level hiyo bana, kubishana kupo ila mpaka makonde sidhani kama inawezekana
 
mshikachuma

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
2,853
0
Am not sure kama hii habari ni ya kweli,Labda ni radio mbao tu hizo.
Ila kama ni za kweli basi ni aibu kwa mr masha
 
Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
20,104
2,000
Hiyo itakuwa lini? Jenerali hayupo nchini kwa sasa. Halafu Masha pamoja na mapungufu yake hajafikia level hiyo bana, kubishana kupo ila mpaka makonde sidhani kama inawezekana
Inawezekana unajua Masha bado ni kijana yaani mtoto wa mjini labda katika hali ya utani wakamuuliza inakuwaje ung'oe vitasa bana jamaa akaona noma tena mbele ya totoz.
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
44,063
2,000
banabana unatoaje vitasaaaaa...hapo alikuwa mitaa ya Zhong Hua kwa binti Machozi! heheeheh inawezekana kabisaaa
 
Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,856
0
Am not sure kama hii habari ni ya kweli,Labda ni radio mbao tu hizo.
Ila kama ni za kweli basi ni aibu kwa mr masha

Mimi nafikiri kama ni kweli aibu zinamwendea Generali siyo Masha. Huyo Masha ni bwana mdogo chekibobu tu hata ukimwona ametulia sehemu unaweza ukajiuliza ilikuwaje jk alimteua mtu wa namna hiyo!!! Mwishowe utaishia kujiridhisha kama mimi kwamba 'wapemba wanajuana kwa .......'
 
boma2000

JF-Expert Member
Oct 18, 2009
3,285
1,500
pamoja na mambo aliyofanya kwenye ofisi ya mbunge ambayo si usitaarabu na haiwezekani yeye kutumia hela yake wakati ipo hela ya serikali kununua vitu vyote vya ofisi lakini siamini hata kidogo kama anaweza kufikia hatua ya kupigana tena na mtu wa staha kama jenerali ulimwengu. nina amini kabisa habari hii ni UZUSHI wa kutaka kuona comments zitakuwaje
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,983
2,000
Lakini hiyo kama ni kweli mbona ni mismatch...? Maana Masha ni dogo sana kiumri kwa Jenerali....sasa Jenerali anaweza kweli kwenda head to head na Masha? Si atavurugwa tu mzee wa watu....
 
kui

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
6,466
2,000
Lakini hiyo kama ni kweli mbona ni mismatch...? Maana Masha ni dogo sana kiumri kwa Jenerali....sasa Jenerali anaweza kweli kwenda head to head na Masha? Si atavurugwa tu mzee wa watu....

LOL!, are you people serious? au mnachangamsha baraza tu, kama vile namuona ex min..akitanguliza kichwa chake kwanza!

we ni yule cousin yangu? za miaka, shangazi hajambo?
 
kui

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
6,466
2,000
Nimesikia Marsha Ex minister ameamua kuwa mwanamasubwi baada ya kuzichapa na Jeneral Ulimwengu Bar...Mwenye taarifa kamili atuhabarishe

LOL!, LOL!....jamani jamani, give the guy a break...lol!...may be he's still in shock for loosing his job and he's probably dreaming he's fighting to keep it then.....all these happening.....JF (I can't you) siwawezi, hii funga mwaka, lol!
 
TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,598
2,000
Nimesikia Marsha Ex minister ameamua kuwa mwanamasubwi baada ya kuzichapa na Jeneral Ulimwengu Bar...Mwenye taarifa kamili atuhabarishe
hizi ndio lows za JF... unakuja na title iliyo biased; ukiwa mtoa habari then wewe mwenyewe tena unaomba habari tena...

kuna member kasema mwamba jenerali hayupo nchini muda sasa, lakini cha kushangaza tena huyo member ambaye ni mod bado anaangalia hizi jungu zetu wabongo

ningekua mod ningefutilia mbali hii sredi
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,983
2,000
LOL!, are you people serious? au mnachangamsha baraza tu, kama vile namuona ex min..akitanguliza kichwa chake kwanza!

we ni yule cousin yangu? za miaka, shangazi hajambo?

What up cuzzo? yeah I am your long lost cousin......auntie mzima....anakuulizia pia....

Whatchu been up to lately?
 
Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Nov 5, 2006
10,181
2,000
....sio rahisi...jenerali na masha wameoa mji[boma] moja la chifu marealle.....infact kwa kuwa jenerali ndio mkubwa na ndie aliyetangulia kuoa..basi masha anastahili kumuheshimu jenerali kama kaka yake..kiujumla....though pia anaweza kuwa baba yake......

sasa kwa mila zetu za kiafrika na nafasi aliyonayo kwenye jamii hawezi kupigana na mzee anayetosha kuwa baba yake kama jenerali!!!..labda kutaniana kwa kawaida!!
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,523
2,000
masha bana....sasa kwa nini unang'oa vitasa na wewe!!! si unge produce tu risiti wangeku refund au
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom