Kawambwa - Aren't you mocking?

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
May 6, 2008
1,243
391
Mimi si waziri mpole-Kawambwa


WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa amesema yeye si waziri mpole kwa sababu ya kutotema cheche kama wenzake, bali ni mkali kwa utendaji wake wa kimya kimya.Akizungumza na wakurugenzi na wakuu wa taasisi zilizo chini ya
wizara hiyo jana, Dkt. Kawambwa alisema staili anayoitumia kuongoza si kuzungumza kila wakati, bali kufanya kazi kwa ufanisi wenye lengo lenye mafanikio.

"Wananiambia Dkt. Kawambwa wewe ni mpole sana, lakini ukweli ni kuwa ukali katika utendaji kazi wowote unastahili umakini, kwa sababu ukali hauna njia moja, ipo ya kimya kimya ipo ya kusema sema," alisema Dkt. Kawambwa.

Source: Majira
Hivi madudu yote yaliyofanyika kule miundo mbinu na yale ya Mrema kule Tanroads ndiyo ukali wenyewe wa kimya kimya? What the hell is this?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom