G giraffe JF-Expert Member Jun 6, 2010 608 196 Dec 3, 2010 #1 kuna ufisadi mkubwa nazani,ujenzi hakuna kitu miradi mingi imeisha labda viwanja vya ndege
Njowepo JF-Expert Member Feb 26, 2008 9,710 2,226 Dec 3, 2010 #2 Hasa reli bse kuna watu wana semi trailer mpaka 500 KWA ajili ya kubeba shaba,mbolea so subbotage ya reli ndo suluhisho
Hasa reli bse kuna watu wana semi trailer mpaka 500 KWA ajili ya kubeba shaba,mbolea so subbotage ya reli ndo suluhisho
Pdidy JF-Expert Member Nov 22, 2007 50,956 22,148 Dec 3, 2010 #3 marafiki na mashoga wa KIKWETE WANGEHARISHA AKUPENDA KUWAZALILISHA HIVYO
The Khoisan JF-Expert Member Jun 5, 2007 15,394 12,978 Dec 3, 2010 #4 Hivi kuna tofauti gani kati ya hizara ya miundombinu na Ujenzi. Maana kama Tanroads iko ujenzi inakuwaje barabara ziwe wizara tofauti??
Hivi kuna tofauti gani kati ya hizara ya miundombinu na Ujenzi. Maana kama Tanroads iko ujenzi inakuwaje barabara ziwe wizara tofauti??