Katizo la umem'e;tulioipigia chadema moto unatuwakia kawe jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katizo la umem'e;tulioipigia chadema moto unatuwakia kawe jamani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Dec 3, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,547
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  Hili ni ngumu kuamini lakini kazi tulioianzisha naona shuguli yake imeanza
  kwa upende wa kawe wapendwa kuna sehemu tulishabikia sana chadema na kufikia
  kutoa wake zetu kafara wasipoipigia chadema na hili limeweka heshima kwa wanandoa wengi sana lakini nw tunaona cha moto

  ukifika muda wa kuminambili utashangaa sana kuona upande fulani auna kabisa umeme na mwingineuna umeme sasa najiuliza jamaa wa upande wa pili wana laini za mbinguni aama??
  Na je iweje iwe kila siku mchezo huo huo kwetu

  waziri wa nishati embu tulinde kwa hili;tunajua kazi ilio mbele yako ni ngumu ila ikifika muhanga basi jitoe muhanga kwa watanzania na si wana ccm pekee wana ubungo hili linawakumba??
   
 2. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Umeme tangu lini ukahusiana na CHADEMA au ccm?? Unataka kusema huko kawe mnakaa kufuata misingi yenu ya kichama?? Acha uzushi huo, kawe hamna umeme kutokana na sera mbovu za ccm kutoweka umeme kama kipaumbele kwa miaka 50 sasa na badala yake mafisadi walijiingiza kupandisha bei ya umeme hadi imekuwa mzigo kwa shirika halipati faida na linashindwa kuwekeza kwenye uzalishaji umeme zaidi, sio siasa. JK mwenyewe ameshindwa kutatua tatizo kwa miaka mi5 na kamrudisha waziri yuleyule kuonyesha kuwa umeme sio kitu muhimu kwa ccm. Mtakoma ubishi waTanganyika.
   
 3. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #3
  Dec 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  huo sasa ni ubwege, nilikuwa kilwa jana hawana umeme siku tatu, wanasema eti kwa vile wamechagua cuf, mjue kuwa hata huko tanesco kuna wapenda nchi hii hawatakubali ubaguzi wa kijinga kama huu
   
 4. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  jk kaagiza jenereta lilikokuwa lifungwe chalinze lilitetwa hapa dsm centere na je chalinze ni chadema?
   
 5. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hoja zanamna hii msingi wake ni nini? unataka kutuambia tusijaribu kufanya mabadiriko ya uongozi kwa sababu tuta kosa huduma mhimu? ndio hivyo pdidy ulivyo tumwa kuja kumaliza agenda ya mabadiriko kwa kutumia hoja nyepesi nyepesi kama hizo? Umeme nitatizo la utawara bomu na kutokuwa na vipaombele kitaifa na sio CCM Vs CDM. Inashangaza kuwa great thinker halafu unakuja na thread kama hizi.....labda kuna hiden agenda ambayo sio rahisi kufichama kwenye thread kama hizi na kuaminisha wananch uongo wa uchama.....
   
Loading...