When Did Rushwa become a normality na Wizi ukawa sifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

When Did Rushwa become a normality na Wizi ukawa sifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VoiceOfReason, Dec 2, 2010.

 1. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Naomba mwenye jibu anijuze... Ni vipi tumefika hapa tulipo sasa.

  Rushwa sasa imekuwa kama kitu cha kawaida, wafanyakazi serikalini hawakupi huduma eti mpaka uwape takrima.... Wamegeuza shughuli za umma miradi yao. Hivi hawa Takukuru wapo?

  Suala la pili mtu unapopata kazi yenye wadhifa watu wanategemea baada ya mwaka uwe umeiba na kutajirika.... Usipoiba wanakuona mjinga... Utasikia watu wanasema aahh Jamaa mjanja sana yupo kazini miaka miwili tu sasa ana nyumba tatu. Je watu hawa hawajui kwamba huyu mtu ni mwizi au wizi ndio sifa siku hizi.
   
 2. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #2
  Dec 2, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ingawa ni vigumu kwangu kukumbuka tarehe pamoja na mwaka ambapo rushwa ilianza kuonekana kama utaratibu wa kawaida wakujiongezea kipato,hata hivyo nakumbuka hali hiyo ilianza kujitokeza baada ya watu wengi kuwa na hisia kwamba hata mwenye nyumba anashiriki kwenye mchezo huo.
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kitu kinachosikitisha hii imeshakuwa culture yetu. mtoto anayezaliwa leo na kukulia katika hali hii ya rushwa, just imagine huyu mtu akikua na kuwa kiongozi... kwakweli hali itakuwa ngumu, tulipofika sidhani kama tunaweza kurudi nyuma maadili yamebadilika
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Zamani Ulikuwa uombwi rushwa ila wewe mwenyewe unatoa ili mambo yako yaende haraka sasa unibidi utoe ili mambo yako yaende au inabidi usahau kushughulikiwa
   
Loading...