Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WADAU NINA MASHAKA MAKUBWA NA UADILIFU WA ZITTO KWA KAMBI YA CHADEMa, matendo na matamushi yake yananitia mashaka kama bado anaimba wimbo wa ukombozi wa tanzania kwa sauti ya Chadema.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF, Tunaendelea kuyafanyia kazi kwa undani ili yakiwekwa isije onekana blabla, tupeni muda........ Ila ukweli kuna mbinu na siasa chafu zinafanywa na kundi la mafisadi wa CCM na watetezi wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu tumeshuhudia nchi ya kwanza ya Afrika kuwa na marais wawili. Lakini cha kushangaza ni pale tunapoona wakuu wa Afrika wakimtuma Bwana Mbeki eti aende ku-solve mambo wakati inajulikana kwamba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Victor Kinambile, Tabora POLISI mkoani Tabora, wamewaua watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi na kufanikiwa kukamata bunduki aina ya SMG, magazine tano, risasi 165 na bomu la kutupa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Rais wa serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Ndugu Mathias Simon Kipara anataka kuleta Mgomo. Kipara kama rais wa DARUSO ameshindwa kufuata maazimio ya bunge la Daruso na kwa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
NI dhahiri Watanzania wengi tunafahamu umuhimu wa kuwa na simu za mkononi katika dhana nzima ya kurahisisha kupata mawasiliano miongoni mwetu, hali ambayo kwa namna moja au nyingine inaharakisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TWO people have died in separate incidents including one who committed suicide at Kimara Temboni Area in Kinondoni District on Friday. The Kinondoni Regional Police Commander (RPC), Charles...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
THE governing council of Sokoine University of Agriculture (SUA) has appointed Deans of Faculties at Moshi University College of Cooperative and Business Studies (MUCCOBS), which became its...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
TANZANIA Communications and Regulatory Authority (TCRA) has disputed a figure showing that the country has only 520,000 internet subscribers. This means the country ranks below Kenya with 7.8...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
INAWEZEKANA Watanzania wengi watakuwa wamesahau kabisa tuhuma nzito zilizokuwa zikiwalenga baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali katika kipindi cha miaka mitano iliyopita chini ya uongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MIKAKATI ya kuwakwamisha kiutendaji Waziri wa Ujenzi, John Magufuli na Naibu wake, Dk. Harrison Mwekyembe, inadaiwa kuanza kuandaliwa na vigogo wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Na Sammy Makilla MAKALA haya yameandaliwa baada ya msomaji kupitia utafiti wa Rebecca Maarsland (2006) na chapisho lake maalum juu ya hili lililoitwa: Dhana Kurubani au Mapambano ya Nani Awe na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimeichek hapo..... Welcome to the Kenya Neem Foundation | Kenya Neem Foundation Sina comment kwa sasa!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ofisi za wabunge zaichaganya serikali Saturday, 04 December 2010 22:43 Fredy Azzah na Eveline Kijumbe SUALA la wabunge wa CCM walioangushwa katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maafisa Magereza wadaiwa kumtorosha mahabusu Saturday, 04 December 2010 22:44 Na Frederick Katulanda, Mwanza JESHI la magereza wilayani Magu mkoani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leon Bahati SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema linakusudia kukata rufaa kupinga hukumu inayowataka kuilipa kampuni ya Dowans fidia ya mabilioni ya fedha, lakini likatahadharisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Mathias Chikawe Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Mathias Chikawe, amesema viongozi wa umma wanaojaza fomu za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
YouTube - HUMAN TRAFFICKING TANZANIA.flv Wa gwan?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
CCM imesema haina mpango wa kufanya mabadiliko yoyote ya uongozi hadi wakati wa uchaguzi mkuu wa chama hicho uliopangwa kufanyika mwaka kesho, uamuzi ambao unamfanya katibu mkuu wa sasa, Yusuf...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nalimwaga hili sababu kuna Afisa mmoja wa serikali kanitisha sana Kuna anaosema kwamba elimu ya nchi za nje haifai kwasababu kuna utofauti mkubwa wa mitaala na ufundishaji kwamba wanafunzi...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Back
Top Bottom