Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nasikia wimbo huu ni kijembe kwa mkuu wa kisiwa cha marashi ya karafuu, na serikali ya visiwa hivyo umepiga marufu redio za visiwani kuupiga wimbo huu. Lakini kwa sababu kudhibiti teknolojia...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nimehudhuria mikutano/sherehe nyingi sana za watanzania walioko nje ya nchi - UK, Canada, Japan, na US. Mengi sana mazuri hutokea ila pia mabaya huwa hayajifichi (muulize Nyani Ngabu akuambie...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mussa Juma, Dodoma Rais Jakaya Kikwete MRADI wa Utunzwaji wa Kumbukumbu za Usajili wa Hati za Miliki za Kimila kwa mfumo wa kompyuta umemwingiza tena Rais Jakaya Kikwete katika mtego wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwanaume mmoja ambaye jina halikuweza kupatikana mara moja, amejifungua mtoto wa kiume kwa operesheni huko Biharamulo. Maelezo ya awali yanadai kwamba mwanaume huyo ambaye ana mke, alimpachika...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Siku chache tangu treni ya reliya kati kuanza kufanya kazi baada ya kusimama kwa muda wa takribani miezi sita kufuatia kuharibika kwa miundo mbinu ya reli hiyo, kuna habari kuwa treni hiyo katika...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Yani jamani hasira zimenipanda mpaka kwenye koo. kwa nini hakuna customer service inayoeleweka hapa Tanzania?? sio makampuni binafsi sio mashirika binafsi na ya umma kotekote ni balaa. Mtu...
0 Reactions
85 Replies
9K Views
Mwanamuziki Cheryl Cole alidondoka kwenye photo shoot baada ya kula Holiday Bongo, vipimo vinasema Anofelesi wamefanya kweli! News today says malaria has hit pop singer Cheryl Cole. The popular...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Serikali ina mpango wa kuhakikisha kuwa kila mwanafunzi wa sekondari ana laptop na wana mpango wa kujenga barabara ya kwenda juu kwa juu. Cha kushangaza vitu vya msingi kama matanki ya kupigana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sabasaba ndio inakwenda kwenda mwishoni. Naamini kwa wale waliobahatika kutembelea mabanda ya maonyesho watakuwa wameona na kujifunza mambo mengi tofauti. Kwa mtazamo wangu, bado tuna safari ndefu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Daily News AT least 921 officials in local authorities including directors were prosecuted or given other punishment over allegations of embezzlement and misuse of public offices in the last...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hukumu ya hii ni halali? Nilishindwa kuangalia video yote. Watch "18+ Stoning To Death Of Muslim Man Pakistan." Najua Irani kuna mama mmoja anayetegema kupigwa mawe naye namna hii hadi afe. Je...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Poor Cheryl Cole went on a lovely vacation in Tanzania and came home with Malaria. She collapsed during a photoshoot on Saturday afternoon and was initially diagnosed with exhaustion, but her pals...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nimejaribu ku-translate "natoka Tanzania" lakini nimepata majibu kama inavyoonekana hapo. Je, ni hujuma??
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limekamata bunduki bandia 1,656 na kumshikilia mfanyabiashara Fatuma Salum Abdallah (53) wa Magomeni, Zanzibar, kwa tuhuma za kupatikana na bunduki...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
wakati kikwete akihutbia leo sabasaba alikuwa antumia lugha ya kiswahli halafu mkalimani akawa anaitafsiri kwa kibrazili kwa raisi wa brazil,akaja raisi wa brazil kuzungumza mkalimani akawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Former boxing champion, Mike Tyson who embrased Islam in 1990s is in his first visit to audi Arabia to perform Umrah. He arrived in Medina on Friday 2nd of July 2010 to perform prayers at the...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
By MASATO MASATO, 6th July 2010 @ 12:00 DAILY NEWS TECHNICAL hitches experienced by Seacom -- the first cable to provide broadband to East African countries -- have seriously affected...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Swala la umeme naona tuliweke kwenye list ndefu ya yale yaliyotushinda :frusty: Earlier this week, the Tanzanian power company went public with plans to raise electricity tariffs by a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SABASABA SPECIAL – MITANDAO JAMII Niko Ndani ya Viwanja vya JK Nyerere kwenye maonyesho ya Sabasaba kweli hali ni nzuri kampuni zilizoleta bidhaa zao kwenye maonyesho yaliyopita zimejitahidi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Amini sasa! Fact 1. Brazil won the World Cup in 1994. Before that they had also won it in 1970. Add these two years and you get 3964 (1994+1970 = 3964). Fact 2. Argentina won its last World Cup...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom