Shinyanga na Madini. Shinyanga na Mashimo. Shinyanga na Njaa ya Chakula

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,164
Aibu gani?

Amkeni.

Nyerere alishakufa.

Wamebaki wezi tu.

Watu wanatoka Pwani na India kuja kuchota madini kwenu. Munaachiwa mashimo na vumbi.

Mumelala.

Wenzenu Mwanza kula mapanki tu wameona ni upumbavu. Wamewamwaga walafi CCM.

Mkoa wenu uko full madini. Lakini ndiyo mkoa unaoongoza kwa vifo vinavyosababishwa na njaa. Aibu gani?

Nyie mnakubali mtu anashinda kwa kura moja?

Kwani mte na masala?

Acheni kutuaibisha bana.
 
KunjyGroup

JF-Expert Member
Dec 7, 2009
352
26
Kama kuna swala linaloumiza moyo ni hilo la madin. Mfano, Mbeya imeambulia nini kutoka madini ya Chunya? Mashimo! Leo hii Shinyanga na Arusha wanaambulia mashimo. Umesikia jk kaongelea tena wananch kunufaika na madin au mikakat ya kugawa machimbo kwa wazawa?
 
Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,618
2,123
Tz kama kawa ni shamba la bibi nasikia kule Madaba watu wanachimba Uranium kinyemela wakati wengi wetu twajua officially ni Namtumbo.
Naona yakibaki mashimo ndo tutathmini hayo mashimo
 
Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,217
Aibu gani?

Amkeni.

Nyerere alishakufa.

Wamebaki wezi tu.

Watu wanatoka Pwani na India kuja kuchota madini kwenu. Munaachiwa mashimo na vumbi.

Mumelala.

Wenzenu Mwanza kula mapanki tu wameona ni upumbavu. Wamewamwaga walafi CCM.

Mkoa wenu uko full madini. Lakini ndiyo mkoa unaoongoza kwa vifo vinavyosababishwa na njaa. Aibu gani?

Nyie mnakubali mtu anashinda kwa kura moja?

Kwani mte na masala?

Acheni kutuaibisha bana.

Usiwakatishe tamaa watu wa shinyanga na harakati zao za kujinasua mikononi mwa CCM, shinyanga ina majimbo 5 chini ya upinzani ( Maswa 2 meatu 1 bukombe1 na Bariadi 1) na tena wa vyama viwili chadema na UDP.

Kwa taarifa yako shinyanga ndiyo inaongoza kwa wingi wa majimbo ya upinzani T-Bara na ndiyo mkoa wenye majimbo mengi ya CHADEMA pia SHY USIPIME NDUGU.

Matarajio ya wanashinyanga ni kuondokana na CCM 2015 na ukumbuke nguvu kubwa imetumika kupokonywa jimbo la shy-town na kuna kesi mahakama kuu.Ukandamizaji wa CCM upo pote TZ kinachotakiwa wote tuhamasishane kuunga mkono kuwa na tume huru na kuandikwa kwa katiba ndiyo ukombozi pekee, vinginevyo hata huko kwenu usitegemee mabadiliko.

Tafadhali watendee haki wanashinyanga usije hapa kuwavuruga
Usitumike kuwakatisha tamaa kama umetumwa sema
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,164
Tz kama kawa ni shamba la bibi nasikia kule Madaba watu wanachimba Uranium kinyemela wakati wengi wetu twajua officially ni Namtumbo.
Naona yakibaki mashimo ndo tutathmini hayo mashimo

Nchi ilishauzwa.
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,164
Usiwakatishe tamaa watu wa shinyanga na harakati zao za kujinasua mikononi mwa CCM shinyanga ina majimbo 5 chini ya upinzani ( Maswa 2 meatu 1 bukombe1 na Bariadi 1) na tena wa vyama viwili chadema na UDP.Kwa taarifa yako shinyanga ndiyo inaongoza kwa wingi wa majimbo ya mengi ya upinzani T-Bara na ndiyo mkoa wenye majimbo mengi ya CHADEMA.Matarajio ya wanashinyanga ni kuondokana na CCM 2015 na ukumbuke nguvu kubwa imetumika kupokonywa jimbo la shy-town na kuna kesi mahakama kuu.Ukandamizaji wa CCM upo pote TZ kinachotakiwa wote tuhamasishane kuunga mkono kuwa na tume huru na kuandikwa kwa katiba ndiyo ukombozi pekee, vinginevyo hata huko kwenu usitegemee mabadiliko.

Tafadhali watendee haki wanashinyanga usije hapa kuwavuruga
Usitumike kuwakatisha tamaa kama umetumwa sema

Nimelizaliwa Kishapu baba.

Kwa Mpendazoe.

Mimi ni shabiki wa Simba lakini nimekula yanga. Unaifahamu yanga wewe?

Siwakatishi tamaa.

Ninachowauliza ni kwamba uko wapi ujasiri wao?

Nitawauliza na tena na tena na tena.

Kwa nini waliacha mtu akashinda kwa kura 1?
 
Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,217
Nimelizaliwa Kishapu baba.

Kwa Mpendazoe.

Mimi ni shabiki wa Simba lakini nimekula yanga. Unaifahamu yanga wewe?

Siwakatishi tamaa.

Ninachowauliza ni kwamba uko wapi ujasiri wao?

Nitawauliza na tena na tena na tena.

Kwa nini waliacha mtu akashinda kwa kura 1?

Kwa nini usiulize JK kuingizwa madarakani na wapiga kura millioni 5 wakati waliojiandikisha ni millioni 20 ? nakuona unafikiria taratibu kwani hata ubabe wa CCM huna taarifa nao.Kwa taarifa yako hata kwako kishapu upinzani ulipita. je unatushawishi tushangae kwa vipi Nchambi mjukuu ni mbunge wako??
Tafakari kabla hujafungua jamiiforum kuwajuza watu.
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,164
Kwa nini usiulize JK kuingizwa madarakani na wapiga kura millioni 5 wakati waliojiandikisha ni millioni 20 ? nakuona unafikiria taratibu kwani hata ubabe wa CCM huna taarifa nao.Kwa taarifa yako hata kwako kishapu upinzani ulipita. je unatushawishi tushangae kwa vipi Nchambi mjukuu ni mbunge wako??
Tafakari kabla hujafungua jamiiforum kuwajuza watu.

Wewe una matatizo.

Au umetumwa.

Tena wewe si msukuma.

Sisi huwa hatujui kubambeleza.

Kwa kuwa hatujui kubembeleza ndo maana nawauliza tena Wanashinyanga, ilikuwaje kuwaje wakaruhusu CCM kushinda kwa kura 1?

Hoja yangu ni clear: 2015 sitaki kusikia Shinyanga kuna jimbo linaongozwa na CCM.

CCM wanaubabe gani? Kama wangekuwa na ubabe si wangechukua Nyamagana kwa Waziri wa Polisi?

Wewe ndiyo unataka kuwatishwa Wana-shinyanga.

Ubabe wa CCM uko Pwani tu.

Siwezi kusubiri 2014 au 2015 kupaza sauti yangu.
 
Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,217
Wewe una matatizo.

Au umetumwa.

Tena wewe si msukuma.

Sisi huwa hatujui kubambeleza.

Kwa kuwa hatujui kubembeleza ndo maana nawauliza tena Wanashinyanga, ilikuwaje kuwaje wakaruhusu CCM kushinda kwa kura 1?

Hoja yangu ni clear: 2015 sitaki kusikia Shinyanga kuna jimbo linaongozwa na CCM.

Siwezi kusubiri 2014 au 2015 kupaza sauti yangu.

Hapa tunajadili maswala ya nchi si ya wasukuma.Wasukuma hawana ubaguzi kama wewe ni wastaarabu sana lakini wewe unazidi kuwaudhi, haufanani na wasukuma, wewe si msukuma.shinyanga ni ya watanzania si wasukuma
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,164
Hapa tunajadili maswala ya nchi si ya wasukuma.Wasukuma hawana ubaguzi kama wewe ni wastaarabu sana lakini wewe unazidi kuwaudhi, haufanani na wasukuma, wewe si msukuma.shinyanga ni ya watanzania si wasukuma

hapo kwenye red: wewe ni juha.

kama ni ya Watanzania kwa nini viongozi wa Tanzania wanaipuuza?
 
Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,217
usijipendekeze kwa wasukuma bwana weeeeeee!!

Usituletee ubaguzi wako na JK, wasukuma ni WATANZANIA na ndiyo maana wanapokelewa kila wanapohamia na mifugo yao na kufanya kilimo.Wasukuma wapo Mpanda , Mbalali, ifakara, kilosa na kwa sasa wanaingia Lindi.Hii ni kwa sababu hawajitambulishi kwa usukuma wao kama navyo-advocate wewe mbaguzi,

wao wanajitambulisha kwa Utanzania wao.

ELIMIKA NDUGU ACHA UBAGUZI KAMA JK
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,164
Usituletee ubaguzi wako na JK, wasukuma ni WATANZANIA na ndiyo maana wanapokelewa kila wanapohamia na mifugo yao na kufanya kilimo.Wasukuma wapo Mpanda , Mbalali, ifakara, kilosa na kwa sasa wanaingia Lindi.Hii ni kwa sababu hawajitambulishi kwa usukuma wao kama navyo-advocate wewe mbaguzi,

wao wanajitambulisha kwa Utanzania wao.

ELIMIKA NDUGU ACHA UBAGUZI KAMA JK

Akili yako siyo nzuri?

Unatumia kigezo gani kunifananisha mimi na JK?

Hoja ni madini yetu munatotuibia na kutupa fadhila ya kuhamia popote kama unavyodai.
 
spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,595
3,215
UNajua IbinzaMatA wewe?
Unaopafahamu MweNdakulima mahali ambapo BUzwagi inazoa Dhahabu Yetu,
Unapajua Maganzo wewe, kwao na kina Ng'wanangwa Almasi wanairusha angani kwenda ulaya kila siku?
Unapakujua Kakola, Kahama Mine inapotenengezea mitaji ya migodi mingine???:frusty:

UMeshafika japo Shinyanga mjini ukapaona jinsi Jengo la Halmashauri linafanana na Shule ya kata na je umepita pita njia hii kuelekea Chalinze kuna nini walafi wa Pwani wanatufanyia sisi Wanashinyanga:target:

Unaijua Dar kabla ya 1995 PPF TOWER,haikuwepo;
Benjamin W.Mkapa P.Tower Haikuwepo
Millenium Tower Haikuwepo
Twin Towers BoT hazikuwepo
Mawasiliano Tower haikuwepo:peace:
Kariakoo hapakuwa ghorafa zaidi ya 15(idadi)
nana sasa;
Viva Towers inakuja,
Uhuru Heights nayo hiyo
Chama cha mapinduzi Tower Hiyo
Dar City Tower nayo pale nyumba ya sanaa

Hivi wewe unayempinga ng'wanangwa umetoka Tinde kama wewe?????
Jeuri hii ya kutunyima Viwanda,Yule MSANII wenu alituahidi kiwanda cha CEMENT badala yake kapanua Wazo Hill, Sie Mfuko wa Cement saivi ni 18000/= wakati Pwani 13500/= ni kweli tuko nchi moja???
Mnatuwekea mishahara ile ile ya TGS Huu ni :nono:

Shinyanga kuna jengo refu zaidi la ghorofa 3 kama hujui:A S 114:
Shinyanga ni Mkoa wa kukosa UNiversity????

HIVIIIIIIIIIIIIIIIIII........................

Unapajua Makao Makuu ya Mkoa hakuna tofauti na Shule ya Kata, Hivi nyie Was:laser: mnatunaje wasukuma.
YAYA GHETE, NG"WANANGWA. ABHENABA BIBHII NO,
2015 TUNAMALIZIA-HAWAPATI HATA JIMBO MOJA SHINYANGA.
 
ngoko

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
573
14
Aibu gani?

Amkeni.

Nyerere alishakufa.

Wamebaki wezi tu.

Watu wanatoka Pwani na India kuja kuchota madini kwenu. Munaachiwa mashimo na vumbi.

Mumelala.

Wenzenu Mwanza kula mapanki tu wameona ni upumbavu. Wamewamwaga walafi CCM.

Mkoa wenu uko full madini. Lakini ndiyo mkoa unaoongoza kwa vifo vinavyosababishwa na njaa. Aibu gani?

Nyie mnakubali mtu anashinda kwa kura moja?

Kwani mte na masala?

Acheni kutuaibisha bana.
Mabadiliko si siku moja ni mchakato, hivyo usije ukadhani hawa watu wamelala, Kimya kingi ......
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom