Hivi Vyuo Vya Bongo Vipi !


Joined
Nov 4, 2010
Messages
37
Likes
0
Points
0

ktman

Member
Joined Nov 4, 2010
37 0 0
Bongo inakuwaje vyuo hasa vyuo vikuu vyenye hadhi haviweki prospectus kwenye mtandao ili prospective students wakasoma na kujua course contents ya programs mabli mbali wanazotaka kusoma?
 

mfarisayo

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Messages
5,059
Likes
409
Points
180

mfarisayo

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2010
5,059 409 180
Kun vyuo havina kabisa kitu kinachoitwa WEBSITE na hata vyuo vyenye website hawaupdate info zao utakuta chuo hadi leo 2010 kina tangazo la Invitation of Admission for the year 2007/2008
 

Forum statistics

Threads 1,204,475
Members 457,330
Posts 28,160,117