Hivi majuzi tuliletewa habari nzuri juu ya kuanzishwa kwa weeklink Tanzania itakayotoa fursa ya kuweka wazi maovu yote katika jamii ya watanzania. Nauliza hiyo weeklink imepotelea wapi, au ni ya...
Tangu Noni ateuliwe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TIB benki hiyo imekuwa inategewa fedha za kutosha kwenye bajeti. Katika bajeti ya mwaka huu ilitengewa fedha eti za kukopesha kwaajili ya kilimo...
WanaJF wafuatao: Reverend Masanilo, Buchanan, October......
Kwanza, Wana akili sana na michango yao inatija sana kwa Taifa hili, of course bila michango hapa JF ingelala sana
Pili, wanawapenda...
Ni kweli kwamba X-mas inahusishwa na mambo ya kipagani (sex orgy), ila Chrismas inahusu kuzaliwa kwa masihi Yesu Kristo. So beware..wanaosherehekea X-mas leo ucku wamebook nyumba za wenyeji, yaani...
SMZ INAJUA UBAGUZI HUU KATIKA SKULI YA GLORIA?
Niliwahi kutembelea skuli (shule) moja huko Zanzibar inayojulikana kama Gloria ambayo nasikia wamiliki wake ni watu kutoka Uganda.
Cha ajabu katika...
Hivi nijuzeni jamani...
Ni lazima kabisa kufika kanisani au kusali kanisani huku Moyo wako ukiwa mbali na Ibada?
Maanake hii mi naona kama unadanganya vile, Moyo ukiwa katika Ibada hapo...
China
Christians celebrate Christmas against the odds in China
Like other Christians around the world, Zhang Fei celebrated Christmas Day in traditional fashion...
- Wana-JF wote na ndugu zangu wote wa-Tanzania nawatakiwa heri ya Kristmas na Mwaka mpya wa 2011, Mungu atujalie uwe mwaka wa neema zaidi na mafanikio kuliko yote iliyopita. Tuendelee kuelimishana...
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESBL), imesema kuwa itatoa mikopo kwa wanafunzi wenye udahili ulioidhinishwa na Kamisheni ya Vyuo Vikuu (TCU) kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la...
Waziri Nundu aipa Sumatra siku 7 kuitema Majembe
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 24th December 2010 @ 23:30
KILIO cha Wamiliki wa mabasi yanayofanya safari zake jijini Dar es Salaam na...
Kwenye gazeti la leo la Mtanzania tunahabarishwa ya kuwa Waziri wa Miundo Mbinu Mhe. Magufuli ameahidi kuanzisha tena bomoa boma kwenye hifadhi ya barabara kuu kote nchini na ya kuwa siasa...
Jamani kwa wenyeji au mliofika Bagamoyo nisaidieni;
Nina jamaa yangu anakuja mapumziko nyumbani, amesikia habari za Bagamoyo na angependa kufikia huko kwa wiki! Ameniomba ushauri wa Hoteli nzuri...
SAKATA la upotevu wa kilo kadhaa za dawa za kulevya zilizokamatwa Novemba 18 mwaka huu mkoani Mbeya, limechukua sura mpya baada ya vigogo watatu wa Jeshi la Polisi mkoani humo kungolewa na...
ZAIDI ya wanafunzi 6,000 wa shule za msingi katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wanakaa chini kutokana na uhaba wa madawati.
Aidha manispaa hiyo pia inakabiliwa na changamoto ya uhaba...
Ndugu wanaJf, leo waziri wa nishati na madini ameongea live na watanzania kuhusu mambo mgao wa umeme na suala la ongezeko la gharama za umeme. katika maongezi hayo yaliyokuwa yakirushwa live na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.