maalim seif, smz mnaridhia ubaguzi huu ndani ya zanzibar?

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
SMZ INAJUA UBAGUZI HUU KATIKA SKULI YA GLORIA?
Niliwahi kutembelea skuli (shule) moja huko Zanzibar inayojulikana kama Gloria ambayo nasikia wamiliki wake ni watu kutoka Uganda.
Cha ajabu katika skuli hiyo hawataki kuwajiri walimu kutoka Zanzibar eti wanasema hawajui kusomesha na huwaita wala urojo. Hawajui kufundisha. Walimu wanaowataka ni wale kutoka Tzbara. Uganda na Kenya au tuseme nje ya Zanzibar.
Kauli hii niliipata baada ya kufanya utafiti wa kina baada ya kupata taarifa kwa wasamaria wema. Ni tatizo ambalo kila anaepeleka barua za maombi kwanza huulizwa unatoka wapi? Kama mlaurojo hapa hutakiwi. Ni kweli zanzibar hawana walimu wanaofaa kusomesha skuli hiyo? Au huu ni ubaguzi usiomaana?
Kama hawajui mbona hata Bongo katia vyuo vikuu wazanziabar wanatakiwa?
Mbona skuli kama high view, Laurent, sunny, sufa ambazo ndizo skuli bora kwa private zinawalimu kutoka Zanzibar na wanafunzi wanafaulu ktk kiwango cha juu? Mbona wanafunzi wanaongea english kama wamezaliwa Uk?
\hili la gloria limetokea na linaelekea wapi? Kuwaita walimu wenye asili ya zanzibar ni wala urojo hawafai kufundisha skuli yao tena ndani ya nchi mpya ya Zanzibar?mtaa wa mombasa?
Smz imeridhia? Maalim seif ameridhia? Waziri wa elimu anajua na amaeridhia hali hi?
mzeewahoja halikubali na yupo zenj kufanya utafiti wa kina swala hili na taarifa zake kuzitoa kwenye vyombo vya habari
 
Uganda ni nchi ya kii slam, ni memba wa oic toka enzi za amin. Nadhani wanajua mapungufu ya watu walio bobea ktk uislam.
 
Uganda ni nchi ya kii slam, ni memba wa oic toka enzi za amin. Nadhani wanajua mapungufu ya watu walio bobea ktk uislam.
acha udini wewe? umekaa kidinidini kama unchuki na uislam si ufiche tu. lazima udhirishe humu?
 
Mzee wa Hoja hilo uliloliona ni kijambo tu katika mambo.
Hao ndio walioipindua Zanzibar na walitumia hoja hiyo hiyo ya wala uroja kuwatenga wazanzibari katika mapinduzi ambayo hayakuwa na haja.Walifanikiwa vya kutosha,sasa sijui wana ajenda gani nyengine kuleta ubaguzi baada ya mapinduzi.
 
nipo zenj kutafuta ukweli na kuumwaga kwanini shule hii inawadharau wazawa?
 
acha udini wewe? umekaa kidinidini kama unchuki na uislam si ufiche tu. lazima udhirishe humu?

baada ya hasira zako na kunishambulia personaly sasa toa maoni na mchango wako utakao iwezesha tz kuondokana na kadhia hii otherwise wa zanzibari wataendelea kubaguliwa kwa tabia zao.
 
Mzee wa Hoja hilo uliloliona ni kijambo tu katika mambo.
Hao ndio walioipindua Zanzibar na walitumia hoja hiyo hiyo ya wala uroja kuwatenga wazanzibari katika mapinduzi ambayo hayakuwa na haja.Walifanikiwa vya kutosha,sasa sijui wana ajenda gani nyengine kuleta ubaguzi baada ya mapinduzi.

hayo tyr ni mapinduzi, zzbar ina walimu wengi hawana kazi sasa kama taasisi ianaajiri wageni na kuacha wenyeji what else?
 
baada ya hasira zako na kunishambulia personaly sasa toa maoni na mchango wako utakao iwezesha tz kuondokana na kadhia hii otherwise wa zanzibari wataendelea kubaguliwa kwa tabia zao.
kwani waznz wanatabia gani mbovu ambazo watu tzbara hawana? hebu orodhesha pengine utasaidia kuzijua na kuzitafautisha na upande wa pili
 
Hili suala limeelekezwa mahali ambako sio pake, maalim seif yeye siku hizi yuko katika mapambano na dawa za kulevya. Nashauri hoja hii iandikwe upya na kuelekezwa kwa makamu wapili wa rais Barozi Iddi.
 
nipo zenj kutafuta ukweli na kuumwaga kwanini shule hii inawadharau wazawa?

Mzee wa Hoja mbona unajikanyaga? Ulipoanza ulisema umefanya utafiti na sasa unatwambia ndio unatafuta ukweli hebu kuwa muwazi tukuelewe. Mbona ulishaanza kuchemsha damu zetu halafu unazibwaga namna hii?
 
sijikanyagi, nafanya utafiti wa kina kujua jeuri hii wameiapatia wapi? jee ina uhusiano na siasa?
 
Uganda ni nchi ya kii slam, ni memba wa oic toka enzi za amin. Nadhani wanajua mapungufu ya watu walio bobea ktk uislam.

he! Wewe sasa tenaa udini utakutia wazimu, acha zarau. Acha ujinga. Wewe umekamilika?
 
Back
Top Bottom