Moyo na Kanisani...!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moyo na Kanisani...!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Papa Mopao, Dec 25, 2010.

 1. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Hivi nijuzeni jamani...

  Ni lazima kabisa kufika kanisani au kusali kanisani huku Moyo wako ukiwa mbali na Ibada?

  Maanake hii mi naona kama unadanganya vile, Moyo ukiwa katika Ibada hapo naona kama umezama katika ibada!

  Kheri ya Xmass wakuu!
   
 2. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Husijifanye hamnazo, jieleze vizuri ueleweke.
   
 3. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Labda sijaeleweka vizuri...yaani kwa mfano...

  Wewe Muumini unaenda kanisani kusali...Kanisani unasali tu lkn katika kuhudhuria kwako kuna wakati unaona mawazo yako yako mbali sana na Ibada au tuseme moyo wako haukpo pale ibadani...baada ya ibada unajiona unatoka kapa vile...hali hii mi naona kama unadanganya vile nafsini!! Sijui imeeleweka mpaka hapo Byendangwero?
   
 4. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Labda kama utakuwa umelazimishwa vinginevyo sidhani mhh

  xmas njema nawe:teeth:
   
 5. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wakuu nahisi bora Jukwaa la Dini lingewekwa wazi kwa wote ili mambo kama haya yawekwe huko na kuhakikisha kuwa kila mwanachama anaweza kuchangia ili kuondowa hili suala la uvamizi huku kusikohusu mambo ya dini. Huku ni kueneza udini JF.
   
Loading...