Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wabongo wanaendesha Toyota Kama vile wanadrve hummer...wanavuta sigara kama vile cigar...wanatembea kama vile ardhi ina moto...kazi kweli kweli
0 Reactions
6 Replies
2K Views
An Emirati man walks past an 11-million-dollar Christmas tree at the Emirates Palace hotel The tree holds a total of 181 diamonds, pearls, emeralds, sapphires and other precious stones...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Bosi mwenyewe ni mtoto wangu . yahani anakula raha kweli kweli akilia familia nzima tunatafutana TV ikipasndishwa sauti nasikia kuwa 'Bosi' ataamka mara tusiongee sana bosi ataamka akiamka...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
WanaJF leo nilikuwa napita mtandao wa globalpublishers.com nikaakutana na picha ya Maimartha wa Jese akiwa anakwenda Muhimbili hospital kulingana na maelezo ya picha kujiridhisha kifo cha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
MWALIMU wa Shule ya Msingi Pemba, Edmund Kadudu iliyopo katika Kijiji cha Pemba, Wilaya ya Mvomero, Mkoa wa Morogoro, ameelemewa na idadi kubwa ya wanafunzi wapatao 1,000 anaolazimika kuwafundisha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka amemjia juu mmiliki wa kiwanja cha Palm Beach kwa kumtaka aende mahakamani haraka na kwamba haogopi vitisho. Akizungumza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Haya ni maoni yangu tu, nimeona niandike hivi kutokana na hoja zake za hivi karibuni coz watu walimdiz sana MZEE MWANAKIJIJI.... Kiukweli huyu jamaa ndiye alinifanya mimi binafsi nijiunge na hii...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
VITA ya madaraka ya Umeya na Uenyekiti wa Halmashauri nchini, umezua balaa baada ya jana Mbunge wa Arusha Mjini, Gobless Lema wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujikuta akiswekwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Diwani wa Kata ya Bumera kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tengera Marwa jana alitolewa gerezani kwa muda na kwenda kuapishwa wakati wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MSHITAKIWA wa kwanza katika kesi ya mauaji inayomkabili aliyekuwa Meya wa jiji la Mwanza, Leonard Bihondo, Oscar Jumanne (30) amedondoka mahakamani na kupoteza fahamu. Mshitakiwa huyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
By AUSTIN BEYADI, 18th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 102 Principal of International Medical and Technological University Prof Flora Fabian, has advised Tanzanians to respect...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
From MARC NKWAME recently in Mpanda, 18th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 197 Authorities at Katavi National Park in Mpanda District are intrigued by periodical appearances of...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Please read carefully – Pencil & Eraser Give us a Big Message. Pencil: I'm sorry.... Eraser: For what? You didn't do anything wrong. Pencil: I'm sorry cos you get hurt bcos of me...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
na kwenye inbox hakuna ujumbe wowote, kama wana jf wahusika mumeiondoa nitapenda sababu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kuuliza swali hili. Nina tatizo fulani najisikia vibaya pale tu ninapoona Tz kuna vyuo vikuu vingi, vingine vimeanzishwa na selikali, lakini vingine vimeanzishwa na watu private hasahasa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu wana JF wakati mwaka 2010 unaelekea mwishoni sisi tukiwa ni great thinkers tuna yapi ya kujivunia kwan chi yetu (Tanzania) mwaka huu unaokwisha. Yapi yanaweza kutufanya tuuone mwaka huu kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WALIMU wakuu wa shule tatu za msingi za jijini Mwanza wamevuliwa nyadhifa hizo kutokana na kukiuka taratibu za usajili wa wanafunzi waliomaliza darasa la saba mwaka huu. Hatua hiyo ni moja ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani wanaJF, natoa wazo kuwepo kwa shindano la kumtafuta JF Star Search aka GREAT THINKER (GT) Mfano, labda atafutwe kila mwaka au kila baada ya miezi 6. Na vigezo viwe kama - Katika kipindi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
WATU wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni wakikabiliwa na shitaka la unyang’anyi wa kutumia silaha. Washitakiwa hao ni Seif Jumanne (20), mkazi wa Mburahati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAZEE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Kigoma, wametaka kurejeshwa kwa amani ndani ya chama hicho baada ya kubaini kuwa, hali kwa sasa si shwari na kusisitiza ni dhahiri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom