Weeklink Tanzania imepotelea wapi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Weeklink Tanzania imepotelea wapi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Byendangwero, Dec 26, 2010.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hivi majuzi tuliletewa habari nzuri juu ya kuanzishwa kwa weeklink Tanzania itakayotoa fursa ya kuweka wazi maovu yote katika jamii ya watanzania. Nauliza hiyo weeklink imepotelea wapi, au ni ya wateule kidogo?
   
 2. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #2
  Dec 26, 2010
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hii ni mpya kwangu cja skia
   
 3. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2010
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,873
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  weeklink, duh!
   
 4. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,980
  Trophy Points: 280
  hehehe si mumrekebishe wajameni ni wikileaks na sio weeklink au weaklink au weakleak
   
 5. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nashuru kwa marekebisho hayo, lakini swali langu bado liko pale pale; hiko wapi hiyo wikilink iliyo anzishwa?
   
 6. m

  matawi JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mbona jf inatosha sana ina kila kitu hiyo wikileaks ya nini? ni sawa na dawa za maumivu kama panadol, panaway, sheladol. dawanol nk ni kitu kilekile
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,850
  Likes Received: 11,973
  Trophy Points: 280
  Niko kwenye hatua za mwisho kukamilisha weekendleaks
   
 8. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #8
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,212
  Likes Received: 3,776
  Trophy Points: 280
  Hongera sana wataalam wa kupasua madimbwizi ya serikali na vigogo yaliyojificha yaliyojificha tupo begakwabega nawew
   
Loading...