Miraji Kiwete - Naombei CV yake

tuongee masuala hapa sio kujadili eti Miraji sijui kafanya nn!!! anatusaidia nini? atapunguza foleni huyo miraji? kuna masuala mengi ya kuongea Ufisadi,wizi wa kura,maji,foleni miji mikubwa,watu wetu wanakufa njaa,Wahindi wanaibia nchi etc
 
Anatusaidia nini sisi?????Maisha yake kimpango wake kasoma hajasoma haituhusu sisi.
 
mmmh, ni kama aliishia form 4 tu.

Baada ya kupata division zero makongo nilikuja kumsikia tena wakati anasoma "short course" ya IT huko india. Ndio alikuwa chief operations manager wa ofisi ya kampeni za mkulu pale upanga.
 
tuongee masuala hapa sio kujadili eti Miraji sijui kafanya nn!!! anatusaidia nini? atapunguza foleni huyo miraji? kuna masuala mengi ya kuongea Ufisadi,wizi wa kura,maji,foleni miji mikubwa,watu wetu wanakufa njaa,Wahindi wanaibia nchi etc

Ni vizuri ukipata kuijua CV ya waziri wako mtarajiwa wa Habari, Vijana na Michezo. Kipindi hicho Januari Makamba Rais na RZ1 Kikwete ndio waziri mkuu teh teh teh!
 
Baada ya kupata division zero makongo nilikuja kumsikia tena wakati anasoma "short course" ya IT huko india. Ndio alikuwa chief operations manager wa ofisi ya kampeni za mkulu pale upanga.

mmmmhh sasa india aliendaje na division zero au alitumia cheti cha mtu manake bongo kwa kuchakachua vyeti....
ni mtoto wa kikwete au ndugu tu??mi namjua Riz 1 from magazeti manake ndo anawika sana.
 
jamani katika watoto wa kwanza wa Rais mbona huyu Miraji sio maarufu hivi amesoma kweli na anafanya nini kwa sasa??

Du jamaa anatoa fotokopi,ingekuwa kijijini ambako watu huiba kwa jirani ,jamaa angekuwa anakuwa na kesi kila wakati
 
mmmmhh sasa india aliendaje na division zero au alitumia cheti cha mtu manake bongo kwa kuchakachua vyeti....
ni mtoto wa kikwete au ndugu tu??mi namjua Riz 1 from magazeti manake ndo anawika sana.
Short course huwa hazihitaji kuwa na division nzuri hata zero unasoma tu
 
Nawe bibie kwa kusupport pumba ndio zaku huyu MK ni mtu maarufu sana na anatumia pesa ya ume hivyo sie wananchi tunayo haki kuhoji ana CV gani??

Sasa mkuu akiwa maarufu sisi inatusaidia nini? Mbona tunawabunge hawajui hata kusoma na kuandika ndio wanatutungia sheria zetu tanzania? Anyway huu ni another form tu ya umbea
 
Back
Top Bottom