Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika kesi ya tatu ya kuteswa kwa wafanyakazi wa ndani katika nchi za kiarabu, mfanyakazi wa ndani nchini Jordan anapatiwa matibabu baada ya kulazimishwa kumeza misumari sita na bosi wake. Ndani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nguo za ndani za mitumba zitapigwa marufuku nchini Ghana kuanzia mwezi februari mwakani. Wapenzi wa viwalo vya ndani vilivyotumika majuu nchini Ghana wana miezi michache ya kununua viwalo vyao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MFANYABIASHARA wa nyama na mkazi wa Daraja Mbili jijini Arusha, Lucas Laiser anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 30 hadi 35, amekutwa akining’inia katika bucha lake la nyama baada ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF, kipindi hiki cha sikukuu watu wanatembeleana sana majumbani. Ktk nyingi nimejionea kitu kimoja kikubwa. Utakuta nyumba ina mlango wa mbele, ambao kimsingi ukiingia hapo utaanza kuingia...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
UONGOZI wa juu wa Jeshi la Magereza nchini unakabiliwa na kashfa ya matumizi mabaya ya fedha kupitia miradi yake ambapo sasa imebainika kuwa zaidi ya Sh bilioni mbili zimetumika katika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wanaofuatilia siri zinazoendelea kufichuliwa na mtandao wa wikileaks hasa zikionesha ripoti zinazotumwa na mabalozi wa marekani waliopo katika nchi za kigeni kwa nchi yao,wataklubalina na mimi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Haya wakuu.....muda ushafika tukutane chini ya mikahawa na migomba na mringaringa......-ria mbeeee.........
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa radio one majambazi yapatayo saba yameteka kijiji cha Katunguru huko Sengerema kwa zaidi ya saa 3 bila ya upinzani kutoka kwa wananchi wala polisi waliokuwa kituoni kwao zaidi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wandugu salamu Nimepewa nyepesi kuwa Dar Express litokalo Ar kwenda Dar limewaka moto na kulazimu watu kuruka kwa kupitia madirishani. Mlioko huko tupeni habari kamili. We hope hakuna madhara...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Watu sita wamekufa kwa kuteketea kwa moto na wengine 11 kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Mbeya kwenda wilayani Makete kupinduka na hatimaye kuwaka moto. Tukio hilo lilitokea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NYIMBO za furaha na vigelegele vilivyosindikiza safari ya kwenda kuoa, vimegeuka vilio baada lori walilokuwa wakisafiria kupinduka na kusababisha vifo vya watu wanane papohapo, huku wengine 91...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Defence giant BAE Systems is due to be sentenced for failing to keep proper records of payments to an adviser in the east African country of Tanzania. Payments totalling about...
0 Reactions
2 Replies
939 Views
Basi la Dar Express linawaka moto hivi sasa huko Kitumbi abiria watokea madirishani.Na Lori laamguka na kufunga barabara mkoani Pwani.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Maige awashukia viongozi wa Tanapa na Hellen Ngoromera WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige, amewakemea viongozi wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwanamke auawa kwa kuchinjwa koromeo na Gordon Kalulunga, Mbeya WAKATI serikali na asasi za kiraia zikiendelea kupiga vita...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni mteja wa VODACOM ghafla nimepokea hii msg kutoka AIRTEL "Sherehekea Uhuru na AIRTEL! Ongea kwa ROBO SH Airtel kwenda Airtel kuanzia mwanzo wa mazungumzo saa 5 usiku hadi saa 12 asubihi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
AN international charity organization, ActionAid, has released a scathing report accusing the Tanzania Breweries Limited (TBL) parent company, SABMiller Plc, of evading taxes amounting to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TWELVE terror suspects being grilled last night are feared to have been plotting a Mumbai-style massacre targeting Christmas crowds in CARDIFF. Five were seized in the Welsh capital - as police...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Risk Management Officer - AccessBank Tanzania Jobs Responsibilities;• Collect and analyse performance and risk data from all Departments and perform sensitivity analyses and stress tests with the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hans Rosling's 200 Countries, 200 Years, 4 Minutes - The Joy of Stats - BBC Four YouTube - Hans Rosling's 200 Countries, 200 Years, 4 Minutes - The Joy of Stats - BBC Four
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom