Pongezi nyingi sana ziwafikie

Pongezi nyingi sana ziwafikie

Topical

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2010
Posts
5,173
Reaction score
941
WanaJF wafuatao: Reverend Masanilo, Buchanan, October......

Kwanza, Wana akili sana na michango yao inatija sana kwa Taifa hili, of course bila michango hapa JF ingelala sana

Pili, wanawapenda sana wa Tanzania except waswahili hawapendi wanaozungumza kiswahili

Ninawapongeza tena zidisheni michango hapa JF mtabadilisha Tanzania...

These members have very constructive idea...

wote tuige mifano yao..

I love Tanzania
 
Back
Top Bottom