Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwenye gazeti la leo la Mtanzania tunahabarishwa ya kuwa Waziri wa Miundo Mbinu Mhe. Magufuli ameahidi kuanzisha tena bomoa boma kwenye hifadhi ya barabara kuu kote nchini na ya kuwa siasa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani kwa wenyeji au mliofika Bagamoyo nisaidieni; Nina jamaa yangu anakuja mapumziko nyumbani, amesikia habari za Bagamoyo na angependa kufikia huko kwa wiki! Ameniomba ushauri wa Hoteli nzuri...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
SAKATA la upotevu wa kilo kadhaa za dawa za kulevya zilizokamatwa Novemba 18 mwaka huu mkoani Mbeya, limechukua sura mpya baada ya vigogo watatu wa Jeshi la Polisi mkoani humo kung’olewa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Enzi hizo bwana! Sikukuu ikiangukia j'mosi au j'pili basi mapumziko yanakuwa j'3 na j4
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wafanyakazi nchi nzima kuandamana Send to a friend Saturday, 25 December 2010 08:30 0diggsdigg Zaina Malongo KILIO cha wananchi kupinga kupanda kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ZAIDI ya wanafunzi 6,000 wa shule za msingi katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wanakaa chini kutokana na uhaba wa madawati. Aidha manispaa hiyo pia inakabiliwa na changamoto ya uhaba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waziri Nundu aipiga ‘stop’ Majembe Send to a friend Friday, 24 December 2010 20:40 0diggsdigg Waziri wa Uchukuzi, Omari Nundu. Fidelis Butahe na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wanaJf, leo waziri wa nishati na madini ameongea live na watanzania kuhusu mambo mgao wa umeme na suala la ongezeko la gharama za umeme. katika maongezi hayo yaliyokuwa yakirushwa live na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Tar 17 nov 2010 42.5 zilikamatwa na polis tdm, na kupelekwa masijala ya polisi mkoani mby chini ya maelkezo ya rpc.taarifa zinaonyesha kuwa dawa hizo zilichakachuliwa na kuwekwea mkaa kwa rushwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
WANANCHI wa Kitongoji cha Salamiti, Tarafa ya Mtimbira, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, wamemsulubu mkazi wa Kitongoji hicho, Joseph Mbulimika ( 40) kwa kipigo hadi kumsababishia kifo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi karibuni tumesikia ya kwamba tanesco kanzia 1jan watapandisha bei ya umeme. Mbali na hilo Tanesco imekuwa ikipambana dhidi ya kuondoa/kupunguza vishoka wanaojitokeza kufanya shughuli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu jana nilichelewa kulala kidogo na nikawa nasikiliza redio (it was Clouds Fm) na ilikuwa mida ya kipindi kilichoitwa 'ALA ZA ROHO' na Loveness Love. Of course alikuwa na mada nzuri kuhusu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimepata habari toka kwa rafiki yangu kuwa mpiga picha wa ITV - Arusha aliyemtaja kwa jina moja la Abuu anayefanya kazi na Mwanaid Mkwizu alipata ajali jana na kufariki maeneo ya mwanga. Tunaomba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MTANDAO wa Wikileaks umeendelea kufichua taarifa zinazotokana na nyaraka za siri, na safari hii imeitaja Tanzania kuwa moja ya nchi kumi zinazotumiwa zaidi kama kituo cha kupitishia dawa za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
mimi na familia yangu nawatakia JF member wote sikukuu njema ya krismasi na furaha ya mwaka mpya.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WATU wanne wakiwemo watatu wa familia moja, wamepoteza maisha kwa kugongwa na gari katika ajali ya barabarani iliyotokea juzi katika barabara ya Shinyanga -Nzega katika kijiji cha Usanda, wilaya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
UMATI wa wanakijiji wa Kijiji cha Borenga, Kata ya Kisaka wilayani Serengeti, Mara, jana ulishuhudia jambo adimu kutokea katika jamii, baada ya Mzee Maro Hagare kukataa kuupokea mwili wa mke wake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe jana alipandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kigoma akikabiliwa na shitaka la kumtoa kwa nguvu mtuhumiwa mmoja aliyekuwa chini ya ulinzi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Over Sh3 billion to be spent on alcohol today Send to a friend Friday, 24 December 2010 23:06 By The Citizen Team Dar es Salaam. On average, nearly...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
http://http://www.youtube.com/watch?v=THcbQyFtCq (happy Christmas from Sonara)
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Back
Top Bottom