Jamani '' I have a dream''! kwamba tungekuwa na watu hawa madarakani.
Rais Dr Slaa, Makamu wa rais Mama Tibaijuka, Waziri Mkuu JP.Magufuli, Waziri wa sheria Mizengo Pinda, Waziri wa fedha Lucas Selelii, Waziri ofisi ya rais anayeshugulikia mafisadi Dr Mwakyembe, Waziri wa uchumi na mipango Hamad Rashid, Spika wa bunge S.Sitta, Naibu spika Mzee Shelukindo. Mwanasheria mkuu Tundu Lisu, Waziri wa Ardhi Halima Mdee, Waziri wa kazi Aloyce Kimaro, Waziri ofisi ya rais utumishi F.Mpendazoe, Waziri akina mama na watoto A.Kilango, Waziri wa Kilimo C.Ole sendeka.
Ni Miaka 5 tu, tungekaribishwa BRICS[Brazil, India, China and S.Africa] The fastest growing economy.
'I have a dream''