Beach Hotels mjini Bagamoyo kwa Mapumziko

Beach Hotels mjini Bagamoyo kwa Mapumziko

bwegebwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2010
Posts
1,072
Reaction score
189
Jamani kwa wenyeji au mliofika Bagamoyo nisaidieni;

Nina jamaa yangu anakuja mapumziko nyumbani, amesikia habari za Bagamoyo na angependa kufikia huko kwa wiki! Ameniomba ushauri wa Hoteli nzuri kwa sasa iliyopo kwenye fukwe za bahari ya hindi....

Mwenye ufahamu naomba msaada!

Merry Christmas
 
The livingstone Hotel.
Ni hotel nzuri,hope atainjoy.Pia ndipo mwili wa Ayati Living stone ulilala kabla ya kupelekwa kwao kwa mazishi.So kuna historia yake pia
 
Back
Top Bottom