Wana-JF na Wa-Tanzania wote Heri ya Kristmas na Mwaka mpya: 2011

Apr 27, 2006
26,588
10,374
- Wana-JF wote na ndugu zangu wote wa-Tanzania nawatakiwa heri ya Kristmas na Mwaka mpya wa 2011, Mungu atujalie uwe mwaka wa neema zaidi na mafanikio kuliko yote iliyopita. Tuendelee kuelimishana na kuelimishwa kuhusu taifa letu na dunia, Mungu awabarikie wote!

Mkuu Invisible na Mods wote, mbarikiwe na Mungu wa Mbinguni na awatangulie kwenye kazi zenu za kila siku! Amina.

Waslaaam.


William Malecela.
New York, USA.
 
Nawe pia malecela ila kumbuka kurudi nyumbani tushughulikie katiba mpya.
 
Back
Top Bottom