Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkono wa mtoto Clement unavyoonekana baada ya kuunguzwa na mama yake mzazi kwa kisa cha kuiba mkate. Kiukweli mi sina lakusema kuhusiana na hili, kwa maana mpaka sasa najiuliza inakuwaje mzazi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna taarifa nimezipata muda mfupi uliopita kwamba kuna kabila fulani wanagombania maiti pale Muhimbili kuhusu aidha azikwe hapa Dar au asafirishwe kwenda Mkoani. Kwa mujibu wa chanzo cha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
binafsi wa TZ wote hatuna haki hiyo kwani vyombo vya usalama vyote vipo kulinda masirahi ya viongozi mafisadi wa nchi hii wale wa CHUKUA CHAKO MAPEMA msishangae mi kusema hiki nitatafutwa ka mwizi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wewe ni Baba/Mama/Kaka/Dada au Mlezi, una mtoto/watoto/wadogo zako mdogo/wadogo labda wa kuanzia miaka 4 na kuendelea hadi ukubwani huko tuseme miaka labda 25 hivi au kuendelea. Sasa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa kesi ya bwana Muro imehairishwa tena. hivi hii kesi sio ya kutengeneza kweli?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
A pastor has angered Christians in South Africa by preaching a sermon entitled "Jesus was HIV-positive" in an attempt to break what he regards as a conspiracy of silence by the South African...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hi everyone. I am a proud customer of a US based webhosting company called Siteground, for two years now. For some time now, they have been giving out several offers that I can share with friends...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika pitapita yangu mtandaoni nimekutana na Blog ya Mr II sugu ambayo ni suguformbeya.blogspot.com
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakereketwa wenzangu vipi kuhusu lile swala la mfuko wa taifa wa bima ya afya? Huu ndio wakati muafaka wa kufichua uzembe , ulaji wa pesa za wafanyakazi wenye kipato kidogo na unyanyasaji...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hili jambo najua hakuna atakayebisha kuwa wa tz wengi wana tabia ya kubana pua, kuanzia wanasiasa. Waimbaji wa bongo flavour,Watangazaji wa maredioni (clouds....) sina haja ya kuwataja kwa...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
wakuu salaam! naomba kufahamishwa,mimi ninajua kuwa afya ya mgonjwa ni siri ya mgonjwa na Daktari wake!kama ndivyo,je na halali kwa watanzania kutaka kujua hali ya afya ya rais wao!au hiyo ni siri...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
KWA UCHUNGU MKUBWA TUNAUTOA MALALAMIKO YETU KWA SERIKALI, WAFANYAKAZI WA VYUO VIKUU TULIPATA WARAKA UNAOONYESHA KUWA MSHAHARA UMEPANDA KUANZIA JULY 2010, LAKINI CHA AJABU HATA SALARY SLIP...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
29 Structural & Civil Engineers Cite Evidence for Controlled Demolition in Collapses of All 3 WTC High-Rises on 9/11 More than 700 architects and engineers have joined call for new...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nna hasira na TANESCO Jana nilipitia kununua LUKU maala fulani, nilinunua umeme wa 10,000/- lakini ajabu risit ilionesha kuwa nimestahili umeme wa 5,800/- tu ambazo ni kama forty something...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Shirikisho la soka Tanzania TFF, limesema endapo klabu za simba na yanga zitasusia kucheza ligi kuu Tanzania Bara zitashuka daraja. Timu hizo zimetishia kugoma baada ya kupewa kipato kidogo baada...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
http://www.bunibuni.com/ fuata hiyo link ukajionee movie zipo nyiiingi na ni mpya. nb.ukiingia huko click kwenye video gallery kisha chagua utayotaka.
0 Reactions
9 Replies
14K Views
Nilikuwa nasoma majadiliano ya Wamarekani juu ya “kupotea kwa ghafla “kile kilichoitwa traffic jam ya kufa mtu ya China ya siku tisa. Nikavutiwa na majadiliano hayo; jambo lililonishtua na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wapendwa kuna basi zinajiita dar airport shuttle kutoka airport kwenda sehemu zingine na mjini nimeona wanaishia ATC HOUSE...nimejiuliza huu ni mtaji wa nani...na kama ni biashara kwa nini...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nasikitishwa na taasisi za hap kwetu kuna taasisi inayojishughulisha na kudhibiti vifaa visivyokuwa na viwango vinavyotakiwa hii taasisi sioni umakini wake tena imeteuliwa na Rais ni kamisheni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
ASILIMIA 12 tu ya Watanzania ndiyo waliounganishwa na nishati ya umeme kutoka katika mfumo wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Karibu asilimia 90 ya wananchi hawatumii umeme kwa sababu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…