Kesi ya Muro yahairishwa

Kesi ya Muro yahairishwa

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,460
Reaction score
4,682
Kuna tetesi kuwa kesi ya bwana Muro imehairishwa tena. hivi hii kesi sio ya kutengeneza kweli?
 
Kuna tetesi kuwa kesi ya bwana Muro imehairishwa tena. hivi hii kesi sio ya kutengeneza kweli?

Sio "imehairishwa" bali "imeahirishwa!" Hizi shule za kata zina mambo kweli. Hivi kesi kuahirishwa ndio dalili kwamba imetengenezwa?
 
Kuna tetesi kuwa kesi ya bwana Muro imehairishwa tena. hivi hii kesi sio ya kutengeneza kweli?
Kuna umuhimu wa kufumua fumua muundo wa Elimu ya Tanzania kwani inaoneka ni ya kiwango cha chini sana... na haikidhi mahitaji ya walengwa. Ukisoma post za wachangiaji wengi hapa JF unakuta hawajui kuandika kiswahili fasaha na hata kujieleza ni matatizo makubwa. Hali hii inatisha....
 
Ipo siku haki itatendeka juu yake, ondoa hisia za ajabu
 
hahahahaha! Duh, jamaa mmemaliza kabla hata point yake haijajadiliwa. Hii kali sana na pia nzuri. Lazima uandike ueleweke
 
Back
Top Bottom