Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

RAIA yeyote atakayepatikana amevaa vazi la jeshi au linalofanana na vazi hilo atatumikia kwenda jela miaka 20. Rai hiyo imetolewa mjini Dodoma Bungeni na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
President Barack Obama lifted the ban on US funding for international organisations that offer advice or perform abortions yesterday, as he expanded his project of rolling back George Bush's...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari zaidi! Wanafunzi 140 UDSM wamejifukuzisha chuo’ Theopista Nsanzugwanko Daily News; Tuesday,February 03, 2009 @20:00 WANAFUNZI 138 wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mlimani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zilizonifikia sasa hivi zinasema kuna ajali imetokea Kimara baruti njia ya kuingilia Kituo cha Mafuta BP ( BAHAMA MAMA ) ajali hiyo imehusisha gari aina ya hiace yenye namba T74 AVJ(...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau kuna habari nimezipata muda si mrefu kwamba kuna vita kati ya koo ya Wairege na Wanyabisi na kuna mwanakijiji mmoja kajeruhiwa na kapelekwa hospitali. Je kuna mdau anaweza kutuabarisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari nyingi zinazohusu ufisadi naona hazina takwimu za kuzitia nguvu. Hali hii si nzuri kwani watu wanaweza kuchafuliana majina kwa sababu binafsi. Tujenge utamaduni wa kujenga hoja zenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu mwandishi anazungumzia kesi ya Zombe na wenzake kufanyika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu. Wakati kesi hii iko Mahakama Kuu na ilikuwa ikiendeshwa na Jaji Masati, manake kesi za mauaji...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hadija Jumanne na Zacharia Osanga BARAZA la Waganga na Watafiti wa Tiba Asilia nchini, wamempa miezi miwili Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kufuta amri yake ya kufungia leseni zao na vinginevyo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Bw. Mlaki ametakiwa kuheshimu mamlaka ya madiwani 2009-02-03 12:31:28 Na ITV Habari Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Brigedia Jenerali mstaafu Dkt. Yohana Balele amemwagiza mkurugenzi mtendaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huduma ya matibabu kwa wadau wa bima ya afya bado ni tete kutokana na wahusika kuonekana kama ombaomba katika matibabu wakati wanakatwa fedha nyingi kwenye mishahara yao kuchangia mfuko wa bima ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Just wondering whether you saw this article in an international paper just the other day. Credit crunch massacre: Father shoots his wife, five children and himself dead after being fired from...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Exams council being investigated for fraud: Money also said to have been embezzled THISDAY REPORTER Dar es Salaam SEVERAL senior officials of the state-run National Examinations Council of...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuanzia mwaka 2008 wimbi la mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi limekuwa likiongezeka sana kiasi cha kutufedhehesha wanajamii wote hasa ndugu zetu hawa wanaowindwa. Jamani, sisi ni binadamu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
"The Earth is firmly fixed; it shall not be moved." -Psalms 104:5 This bible verse shackled the minds of men for thousands of years, and held back the advance of science. It was this...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari za leo Dan, Rejea mazungumzo yetu ya jana. Kwa kipindi kisichopungua miaka kumi, baadhi ya wafugaji kutoka wilaya ya Hanang, Babati, na Mbulu walihama na mifugo yao kutafuta malisho...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Bila shaka wana -jf wengi mmekutana na jambo hili au mmesikia; ukienda kuomba chumvi usiku kwa jirani yako kwa kutaja neno chumvi hakupi ila ukisema dawa ya mezani utapewa. Kali zaidi wengine...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
George W. Bush Resume Past work experience: Ran for congress and lost. Produced a Hollywood slasher B movie. Bought an oil company, but couldn't find any oil...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kampuni ya ndege nchini-ATCL- kuongezewa kiasi cha sh. bilioni 2.6 2009-01-30 12:34:45 Na ITV Habari Serikali kupitia wizara ya miundo mbinu imepanga kuliongezea kampuni ya ndege...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndege ya Precision air Boeing 737-300 ina hitilafu na hairuhusiwi kuruka kwa siku sita sasa.Kufuatia pigo hilo, precision wamekuwa wakihaha kuhusu safari zake za Nairobi na Mwanza ambazo zilikuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wiki iliyopita kulikuwa na habari ya kushtusha TBC1. Iliripotiwa kuwa Mama Mmoja huko Nguruka mkoani Kigoma alijifungua Samaki aina ya Kamongo na Mtoto (mwanadamu). Kabla ya kujifungua mtoto wa...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Back
Top Bottom