Hata mimi nimeipiti,
kilichonivutia ni maneno yake haya hapa,
"Naomba nieleweke kuwa mimi si mwanasiasa, bali ukweli mimi ni mwanaharakati wa masuala ya maendeleo ya jamii na ninachokifanya sasa, ni kubadilisha jukwaa kutoka jukwaa la sanaa ya muziki na kutua katika jukwaa la siasa,''