Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

A forceful speaker, given to fiery phrases, he is fluent in both English and Swahili. in 1963 his translation of Shakespeare's Julius Caesar into Swahili was published in Dar Es Salaam. He was a...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Nchi zilizoendela kwa kutegemea msaada wa nguvu za Nyuklia ziko hatarini kurudi nyuma kimaendeleo na hata kuhatarisha Afya za raia wao baada ya kugundua kuwa Mitambo yao haiko salama kutokana na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani nguvu ya umma imeanza kuzaa matunda kwani kiwanda cha kilombero kupitia kampuni ya ilovo dar imetangaza sukari itakua sh 1500 kg.source nipashe leo
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mmiliki wa Richmond
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Maswali rahisi kwa TANESCO au TUICO – TANESCO. Nini tafsiri ya kina ya Tamko la Viongozi wao wa TUICO:-- 1. Kusema kuwa wao hawatalipa Dowans isipokuwa Dowans ilipwe na Serikali: Je...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
dawa ya mafisadi ni kuchukua sheria mkononi kama tunavyofanya kwa vibaka , tukiwaona mtaani tu tunawagawana kama wanavyodawana mali zetu watahacha tu hakuna mtu hasiye ogopa kifo kuliko kumsubilia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika jitihada za kuiipa CCM uhai mpya kuna tetesi kwamba chama hicho kiko mbioni kufanya mabadiriko makubwa katika safu yake ya watendaji wakuu na baadhi ya viongozi waandamizi.Hata hivyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hamjambooo? ndio nimetoka jela hivi punde baada ya kusota muda mrefu kwa kufungiwa na Modereta mpaka nimeupata ugonjwa wa Kisukari! nimesikia kuna BABU huko Loliondo anatibu hivyo naenda huko...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
:angry:WANAJAMII kipi hasa ni cheo cha Babu? 1. aITWE nabii? mtume? Mchungaji? Tabibu? mganga? mnajimu? 2. Musa alikuwahi kukutana wa wachawi MISRI wakamrushia nyoka wa kichawi naye mungu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Afisa mwandamizi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Japani , Bw. Francis Mussongo ametoa wito maalum kwa watanzania wanaoishi nchini Japani kuchukua tahadhari kufuatia habari za kuvuja kwa mnunurisho...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
SHULE ya Msingi Bunge ya jijini Dar es salam, imeingia kwenye kashfa baada ya mwalimu mmoja shuleni hapo kuwaadhibu wanafunzi kwa waya wa transfoma. Taarifa kutoka shuleni hapo ilisema kuwa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu kwa mwenye kuweza kunisaidia idadi halisi ya vyama vya siasa Tanzania pamoja na majina yake kwa mwaka huu 2011 naomba anisaidie.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nimegundua mtu au taasisi fulani zinaweza kunyima uhuru wa mtu kwa kulinda maslai yake au yao...kabla ya kumlaumu mtu,watu au taasisi fulani kwa kuwa wabinafsi tujiangalie sisi kwanza....tusiwe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii imesikika leo kwa mujibu wa redio clouds fm. Sina taarifa zaidi kwa kuwa miye mwenyewe nimedokezwa na mtu.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Kutokana na milipuko ya vinu vya nyuklia huko japan,nashauri kuwa waangalifu juu ununuzi wa magari mitumba hapo baadae kwani kuna uwezekano kuwa yakawa yame ingiwa na mionzi iliyovuja ya nyuklia...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Follow the link to see the damage caused by tsunami. 实拍日本强震海啸十大悲情时刻 - 实拍日本宫城县地震加海啸后的城市 - 视频 - 优酷视频 - 在线观看
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau naomba kufahamishwa... juzi nlipata sms katika line ya TIGO lkn ikisifia ZANTEL na jana katika line ya ZANTEL ikisifia AIRTELL... katika kesi zote mbili sms imetumwa na sender ambaye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeguswa na huyu mzee kwa kweli huduma yake ni ya kimungu. Mungu amzidishie hii cooporate responsibility yake ni zaidi, ina utu mkubwa ndani yake zaidi. Wito Viongozi wetu igeni mfano, ukianza...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi ni nini kilichoisibu hii club, iko on the way to Rainbow club kwenye ile barabara ya lami inayotoka Tangi bovu kuelekea baharini. Walikuwaga wanachoma kuku vizuri, majuzi nilipita hapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom