Mfuko wa taifa wa bima ya afya

Mfuko wa taifa wa bima ya afya

Joined
Aug 27, 2010
Posts
10
Reaction score
0
Wakereketwa wenzangu vipi kuhusu lile swala la mfuko wa taifa wa bima ya afya? Huu ndio wakati muafaka wa kufichua uzembe , ulaji wa pesa za wafanyakazi wenye kipato kidogo na unyanyasaji unaondelea pale ndani na nje ya ofisi. Tumepata baadhi ya nyaraka za kusapoti malalamishi yetu kwa rais. Nipeni mchango wenu.
 
Uzembe gani?, ulaji gani?, nyaraka gani? Hebu kuwa clearer ndugu.
 
Mfuko wa taifa wa bima ya afya ni idara nyingine ya ccm! bora kuanza kumwuliza Makamba kwanza, na mwaga huo ushahidi wako.
 
Back
Top Bottom