Taasisi za serikali zinatakiwa ksukwa upya!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taasisi za serikali zinatakiwa ksukwa upya!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Aug 26, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Nasikitishwa na taasisi za hap kwetu kuna taasisi inayojishughulisha na kudhibiti vifaa visivyokuwa na viwango vinavyotakiwa hii taasisi sioni umakini wake tena imeteuliwa na Rais ni kamisheni!!
  Kuna hii taasisi kongwe ya kuhakiki uimara wa vifaa!!
  Kuna tume ya mionzi!!Lakini kati ya zote zimelala na kuacha watanzania wakiteketea peke yao bila hata kushtuka!!
  (1) Naanzia na kamisheni-Hii kamisheni naona imelala sijaona kituinachokifanya kwani tukianzia ktika vifaa vya maofisin,simu,Kuna komputer nifake zinaingia hazina viwango kabisa simu pale kariakoo kuna simu fakefake!!wameshindwa kukamata hivyo vifaa bandia kutoka china!1
  (2)TBS wao ndokwanza wavuta shuka!!!Baada yakukaa na TRA kwenye njia kuu zakuingiza mizigo wao sijuhata wnafanyanini!
  (3) Tume ya mionzisijui wao hawaoni kuwa vifaa bandia vinavyotumia mionzi vinaingia kila kukicha??watu wanateketea na makomputer used yenye mionzi mikali yanzidi kuingi!na Hapa hata TRA wanatakiwa wapewe lawama kwanini wanaruhusu mikomputer yazamani??kuingia nchini??Mfriji yenye gesi chafu isiyotakiwa duniani sisitunaletewa tanzania na vyombo vyakudhibiti vipo vimelala!!:sleepy:
   
Loading...