Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,722
- 21,778
Wapendwa
kuna basi zinajiita dar airport shuttle kutoka airport kwenda sehemu zingine na mjini nimeona wanaishia ATC HOUSE...nimejiuliza huu ni mtaji wa nani...na kama ni biashara kwa nini wafikie kumwaga abiria ATC HOUSE na si QUALITY PLAZA office za precission???na kama ni kwa ajili ya kampuni fulan kwa nini abiria walipe pesa za kuja ama kwenda airport ??Embu tuwe fair jamani transpo ni moja ya offer kwa abiria wanalipa pesa mingi sana sidhan wanastahili kulipishwa hata pesa za kwenda na kurudi aiport
Wana anga embu muwe fair kwa hili na kama ni biashara ya mtu bianfsi iweje iwashushe abiria kwenye ofisi za watu....na huku wengine wakiipigia debe watu waende kupanda hizo basi....???angalien msikose abiria kwa kuanzisha kitu ambacho kitawaumiza wenyewe..kama mjini airprt 10,000 na airport mjini 10,000 kwa nini mtu asipande tax akiwa mwenyewe alfu 10???embu angalien na fair yenu jamani punguzeni kama mko sirias kuwasaidia wateja