Je ni kweli watanzania tuna haki ya kuikosoa serikali na viongozi wake hadharani?

madiya

Member
Aug 27, 2010
29
1
binafsi wa TZ wote hatuna haki hiyo kwani vyombo vya usalama vyote vipo kulinda masirahi ya viongozi mafisadi wa nchi hii wale wa CHUKUA CHAKO MAPEMA msishangae mi kusema hiki nitatafutwa ka mwizi wa mabilioni jamani watz tutanyanyaswa mpaka lini jamani tuamke sasa ahadi hewa za chukua chako mapema sasa basi kazi kununua matoleo mapya ya mashangingi wakati watu hawana dawa mahospitalini
 
Is this real breaking news?! Hizi dhuluma na ukosefu wa haki za watu kusema kwa uwazi zimeanza leo?? Hapo breaking news ni ipi ndugu?
 
Back
Top Bottom