Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

WanaJF: Nimejaribu sana kutafuta sababu kwa nini hapo awali Serikali ilijikanyaga kuhusu tiba ya babu wa loliondo – kwanza kusitisha utoaji huduma hiyo kwa kupitia Waziri wa Afya Dr Mponda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hey Guys, mimi ni mgeni hapa so don't shun me kama niotakuwa nimekosea. Anyway, kuna kitabu nimekuwa nasoma lately kinaitwa "The Shackled Continent by Robert Guest" ningependa kuSuggest mkisome...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jana naibu wa viwanda na biashara ndg lazaro nyalandu kazindua shahada 2 za uzamili (master's program) - master of int. trade na master of int. business ambazo zinatolewa na UDBS. Ni jambo zuri...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Madini haya yamepewa jina la baba wa taifa, safi sana. Nyerereite is a very rare sodium calcium carbonate mineral with formula Na2Ca(CO3)2. It forms colorless, platey pseudohexagonal...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sipingi na wala sitapinga wagonjwa kumiminika kwenda Loliondo kupata dawa ya magonjwa sugu inayotolewa na Mch. Mstaafu Ambilikile. Lakini kama anayosema ni kweli basi Mungu aliyempa uwezo huo...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Serikali itegemee maajabu CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, amesema Serikali itegemee maajabu zaidi ya tiba za asili kuliko ya Loliondo, kwa kuwa wananchi wamechoka na ubabaishaji wa sekta ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanamke mmoja wa nchini Marekani mwenye umri wa miaka 18 aliyekuwa akitamani kuwa na mtoto, ametiwa mbaroni baada ya kumshambulia mwanamke mjamzito na kujaribu kulipasua tumbo lake ili kukiiba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri Mwinyi amewataka wa TZ kuzisaidia familia za askari wa jwtz wa kambi ya gongolamboto zilizo athiriwa na mlipuko wa mabomu. Source gazeti mwananchi. My take : kuna tetesi kuwa wakati wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watu wawili wafa pale pale muda mfupi uliopita baada ya kugongwa na gari iliyokukuwa ikivutwa na gari ingine. Waendesha piki piki hao waligongwa na kufa papo hapo baada ya bomba lililotumika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Watu wanamiminika Loliondo,tamko kwa waislam msiende huko,kakobe hiyo ni deci,askofu mpemba loliondo ni uchawi,wengine mbona shekhe yahaya? Nianze na waislam.Waislam mtume na nabii wa mwisho ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Celina Kombani,ameuagiza uongozi wa mbuga ya hifadhi ya Selous wilayani Ulanga, kuacha mara moja kuwapiga na kuwafanyia unyama wananchi wanaoingia katika maeneo ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mheshimiwa Jakaya Kikwete, Hongera sana kwa kuteuliwa kuwa kiongozi wa muungano wa Afrika kwa kipindi kijacho. Hongera pia kwa kufanikisha upatikanaji wa amani kwa majirani zetu Kenya. Hongera...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
'Someni magazeti kama vile mnavyosoma barua mnazotumiwa'.Hii ni kauli iliyotolewa na spika wa bunge Anna makinda katika kikao na wawakilishi kutoka vyombo mbali mbali vya habari.Hii kauli...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kufuatia babu wa loliondo kugundua dawa ya magonjwa sugu na ukimwi.. Makanisa mengi yamebaki njia panda na kutokujua la kufanya huku waumini wengi wakikiristo kukimbilia huko na makanisa kubaki...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Gold theft weakens Dar's case over new US law By KEVIN KELLEY THE EAST AFRICAN Posted Monday, March 14 2011 at 00:00 The recent seizure of an unspecified amount of gold at the port of Dar...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kwa hali ilivyo Loliondo, natamani kuona jinsi kampuni ya kwanza itakayo instal mawasiliano kwenye kijiji cha Samunge. Swali, je ni kampuni gani ya simu hapa tz itakayokuwa ya kwanza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba mawazo yenu hapa. Mtu ambaye amemjua Mungu na kuwa na Yesu maishani mwake bado anahitaji kwenda kutafuta msaada kwa waganga wa kienyeji? Jibu lako liambatane na sababu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJF Kweli Tanzania ni shamba la bibi. Madeni hayo kwa mgodi huo yalibainika wakati Mkurugenzi wa Mipango, Uwekezaji na Miradi wa NSSF, Yakubu Kidula, alipokuwa akitoa taarifa juu ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Inavyoonekana basi hawa jamaa wa usalama barabarani na makofia yao meupe ni wazalendo wa kweli. Huku vijijini wapo barabarani hadi saa 1 jioni au zaidi. Kwa vile sasa wana pikipiki kali, raia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika pita pita yangu kwenye baadhi ya tovuti nilikutana na habari hii ya kusikitisha kwenye tovuti ya Global Publishers. KIJANA ATUPWA KITUO CHA MAFUTA CHA BAMAGA NA WATU WASIOJULIKANA -...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom