Kwa nini Wa Tz wengi wanapenda Kubana Pua??

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Hili jambo najua hakuna atakayebisha kuwa wa tz wengi wana tabia ya kubana pua, kuanzia wanasiasa. Waimbaji wa bongo flavour,Watangazaji wa maredioni (clouds....) sina haja ya kuwataja kwa majina....wanajulikana.
Haipendezi kwa wanaume kubana pua, haya mambo sio mazuri jamani kufanywa na wanaume
 
Si watanzaniania wengi wenye tabia hiyo. tanzania ina watu wanokadiriwa kuwa milioni 43. umekutana na watu wsaiozidi 30 unasema watanzania wengi.
Labda wengi ukimaanisha kuzidi moja yaani yoyote kuanzia mbili na kuendelea. Lakini ukisema wengi ukimaanisha zaidi ya chache mazee umechemsha kidogo. Vinginevyo unaishi na mateja au karibu nao.
 
Ni Watanzania unaopenda kuwasikiliza wewe....JK,Kibonde,Ali Kiba,Mzee Yusuph....sisi wengine usio taka kutusikiliza ni mabaritone wa kweli
 
Hili jambo najua hakuna atakayebisha kuwa wa tz wengi wana tabia ya kubana pua, kuanzia wanasiasa. Waimbaji wa bongo flavour,Watangazaji wa maredioni (clouds....) sina haja ya kuwataja kwa majina....wanajulikana.
Haipendezi kwa wanaume kubana pua, haya mambo sio mazuri jamani kufanywa na wanaume

Boflo usigeneralize, si kwa waTanzania wote, Nadhani wewe umekutana na Watanzania wenye sifa kama zako na mnajuana kwa vilemba
 
Ni Watanzania unaopenda kuwasikiliza wewe....JK,Kibonde,Ali Kiba,Mzee Yusuph....sisi wengine usio taka kutusikiliza ni mabaritone wa kweli
vipi kuhusu spika wa bunge alopita, na huyu mpya hali ndio hiyo hiyo
 
sikulaumu wala nini maana najua research yako umefanyia kwa wale jamaa wa ngoma baikoko a.k.a kibao kata!
 
Anachozungumza jamaa ni kwamba ile sauti mtu anaongea ambayo siyo yake! Yaani mtu anaongea puani. Nadhani jamaa anamaanisha hivyo au labda nimemuelewa tofauti!
 
Hili jambo najua hakuna atakayebisha kuwa wa tz wengi wana tabia ya kubana pua, kuanzia wanasiasa. Waimbaji wa bongo flavour,Watangazaji wa maredioni (clouds....) sina haja ya kuwataja kwa majina....wanajulikana.
Haipendezi kwa wanaume kubana pua, haya mambo sio mazuri jamani kufanywa na wanaume

Wanaume wengi wa Tanzania ni lege lege. Yaani hawajaakaa kidume. Ndiyo maana wanawake wengi wa Tanzania wanatembea na wageni.
 
vipi kuhusu spika wa bunge alopita, na huyu mpya hali ndio hiyo hiyo

Spika aliyepita anabana pua kwasababu waliomlea(wahindi) wanaongelea puani. Naye akajifunza hivyo na kuzoea hivyo.
Spika Six, huyu anaonewa. huyu anasauti kubwa nzito ya kizee. sjui kwa kigezo kipi unasema anabana pua (ukimaanisha anatumia zaidi sinuses zake kuliko vocal cord).
 
Wanaume wengi wa Tanzania ni lege lege. Yaani hawajaakaa kidume. Ndiyo maana wanawake wengi wa Tanzania wanatembea na wageni.

labda wewe umo. lakini mimi simo na rafiki zangu pia ni madume a.k.a ngenda eka.
 
Lakini mtoa mada umewahi kujifunza kuhusu tabia hii ya kuiga inayoibuka sasa kuwa kila mtu mashuhuri lazima aongee kwa staili fulani?

Watu ambao vijana wengine wanajifunza kwao ukuwafuatilia ni mateja. Tofauti na hao mateja wa JAngwani na Manzese ni hali ya maisha na kiwango cha uathirika.
 
Wanaume wengi wa Tanzania ni lege lege. Yaani hawajaakaa kidume. iNdiyo maana wanawake wengi wa Tanzania wanatembea na wageni.

Hii sijawahi kuisikia..
Wanawake Tanzania ni asilimia zaidi ya hamsini ya watu takribani milioni 43!
Kati ya hawa wanawake milioni 24, tukisie kuwa wenye uwezekano wa kuwa na mahusiano ni kama aslimia 50 ikiwa na maana ya wanawake kama milioni 12 ( kwa uchache). Kati ya hawa, ni wangapi wanatembea na wageni?
 
Sijui takwimu zao lakini nawajua wengi. Angalia jinsi wanaume wa Tanzania wanavyoshindwa kwenye mambo ya michezo. Wakienda kwenye Olympics hata medali za shaba zinawashinda kupata. Kama si lege lege ni kitu gani? Halafu ni waoga waoga sana ndiyo maana mafisadi wenu bado wanapeta. Unafikiri nchi zenye vidume vya shoka wangeendekeza kufanyiwa ufisadi?
 
Back
Top Bottom