Ni siku chache tangu Chama Cha Mapinduzu (CCM)kifanye kile ilichokiita kujivua gamba kule mjini Dodoma.Suala la msingi hapa la kujiuliza ni kwamba je ccm inaendeshwa kisultani? Inakuwaje watoto wa...
Hawa member 2 wa JF ndio huwa nasoma michango yao humu ndani maana wankimbiza ile mbaya
1. Muhadhir
2. Majimshindo
BIG UP michango yenu ni yenye akili sana
Njemba moja jana ilitinga katika kituo cha polisi Bagamoyo ikiwa na ndoo yenye dawa kama ya babu kuomba ulinzi. Jamaa huyo alidai kuwa ameoteshwa dawa hiyo na kwamba masharti yake ni dawa kulindwa...
Amini usiamini, Nyani mmoja aliye kuwa akikwea ukuta wa mtu flani hapa kinondoni, kageuka kuwa mtu aliyejulikana kwa jina la Mzee Macho mkazi wa kwa makoma kinondoni. Kwa sasa yupo kituo kidogo...
Askari polisi mmoja wa serikali ya uganda, ameingia msikitini na viatu akipiga watu waliokuwa wakiandamana kupinga ongezeko la ada ya vyuo vikuu nchini humo, mtu mmoja (nadhani ni sheikh)...
Ndugu wana JF,
Katika safari zangu za kutembelea jiji la Tanga, nimekumbana na kitu ambacho sijakielewa kabisa. Nilipokuwa nazunguka mjini leo asubuhi, nimeshangaa kuona maduka yote na sehemu...
Binti aacha shule akidai naye ameoteshwa
Imeandikwa na Na Abby Nkungu, Singida; Tarehe: 15th April 2011 @ 23:59 Imesomwa na watu: 54; Jumla ya maoni: 0...
As per announcements made yesterday and implemented today, all shops in Tanga city are to be kept shut until 12:00pm today!Any shop found open, a fine of Shs 50,000/= is to be paid.
The owners...
ama kweli kufa kufaana! idadi ya magari yanayopeleka wagonjwa samunge yamesababisha kuongezeka kwa kodi zilizowafanya wakusanya kodi hizo kushawishika kuzichakachua!
gazeti moja jana lilieleza...
ndugu uendapo kupanda daladala moro mjini kama unaelekea chamwino, SUA, mzinga na maeneo ya jirani na sehemu tajwa unakwenda kupanda daladala lazima ukutane na tope. huu msimu wa masika ni kero...
Dada yangu Jenister,
Nafurahishwa sana na jinsi unavyoongoza vikao vya Bunge pale unapokuwa mwenyekiti wa vikao husika... I wish ungekuwa.... Naomba ujiendeleze zaidi... nyota yako inang'aa...
jana niliongea na wanafunzi wachache wageni ambao wanatoka nje ya tanzania. niliongea kwanza na wanafunzi wa msc. badae nikaongea na wanafunzi wa bsc. wanafunzi wa msc walisema wao wanatamani sana...
Jamani mwenzenu toka nihitimu chuo sijapata kazi. Ila nimeamua kujiingiza kwenye ujasiriamali. Nataka kuendesha mradi wa internet cafe' ambapo ninahitaji kuwa na mil 3, nimeandika mchanganuo wa...
kila siku najiuliza kwa nini wasichana wengi wanapenda wanaume wenye pesa hata kama wao wenyewe wana uwezo wa kupata pesa.Kwa nini wasijiamini nao kama wanaume na kufikiria kuwa pesa siyo jambo la...
Akiwa anajibu maswali Bungeni W/Mkuu amepinga kuwa mikoa ya Lindi na Mtwara si masikini kama wengi wajuavyo bali kwa Takwimu zilizopo mikoa masikini kabisa ni
1.Singda
2.Dodoma
3.Kagera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.