wasichana wengi wanapenda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wasichana wengi wanapenda

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilimasera, Apr 16, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kila siku najiuliza kwa nini wasichana wengi wanapenda wanaume wenye pesa hata kama wao wenyewe wana uwezo wa kupata pesa.Kwa nini wasijiamini nao kama wanaume na kufikiria kuwa pesa siyo jambo la maana sana kama unampenda mwenzio? nataadharisha ni waschana wengi sio wote ila asilimia kubwa na wakati huohuo wanaume wengi wanapenda wanawake wenye kipato cha chini au maskini
   
Loading...